Tabia mbaya sana hii

afadhali umemwambia! nakwambia nikikutana na mkewe nikamgegeda ki sawa sawa... ataruka kwa furaha kama ndama!!

Mmh hapa simo naogopa kuwa shahidi wa kwanza dhidi ya Jamhuri
 

full mautundu.... sawa kabisa naisigida mpaka inaiva. Inakuwa nyekunduuu naihurumia kwani inahurumika !!? Itafune mpaka akiondoka asahau kuvaa pichu
 
Kwenye gari inanoga kupita maelezo ndugu, pili gesti ni kuongeza cost zisizo za lazima,kwanini ulipie gesti wakati unaweza ukapark gari eneo poa na ukala mzigo safi. Nani kakuambia gari unaitia nuksi? Kwani humo gesti mnaenda kufanya ibada?. Iyo maneno mbofu mbofu bana. Tena kuna magari mengine kule nyuma kuna bonge la uwanja kama sita kwa sita. Je na wale wanaogegedana vichakani utasemaje?.
 
Kuna kamjamaa kalikamatwa na polisi kule ufukweni kakalipishwa 50,000.
 
Mkuu gesti nani anataka huo ushahidi. Ukiona magari yamewekwa tintinted ujue mkeo/demu wako anaweza tafunwa humo ene taimu.
 
Mkuu gesti nani anataka huo ushahidi. Ukiona magari yamewekwa tintinted ujue mkeo/demu wako anaweza tafunwa humo ene taimu.

Natembea na upu.pu nikiwafuma nawamwagia tu nione mtakavyotoka nduki tena uchi wa mnyama hapo ndipo senema itakapoanzia !!!!halafu nawapiga picha na kicm! Changu cha mchina
 
Nina rafiki yangu hadi kaharibu siti za mbele kwa huo mchezo. Ila ni raha sana kwenye gari. Mi nkijinunuliaga mtoto wangu pale ambiance natafuta mtaa uliotulia nachuja nafaka zangu vizuuuuri.
 
Nina rafiki yangu hadi kaharibu siti za mbele kwa huo mchezo. Ila ni raha sana kwenye gari. Mi nkijinunuliaga mtoto wangu pale ambiance natafuta mtaa uliotulia nachuja nafaka zangu vizuuuuri.
Du seat za mbele huyu atakuwa ni mwanasarakasi mzuri na huwa anabeba vipotable na nafikiri tint ni mpaka kwenye windscreen
 

mhhhh mbona unawatetea hivooo? utakua mshrika namba moja wa hii ktu
 
mhhhh mbona unawatetea hivooo? utakua mshrika namba moja wa hii ktu

mi najali privacy za watu...! sometimes tuwe tunakuwa bize na shughuli zetu bana!!

uswahili swahili sio mzuri..! watu wanavuta hisia mpaka kwenye tinted jamani?

yani mpaka mtu anajua kabisa ndani kuna kiumbe anapewa raha? loh! hahahaaaaa!!....

ngoja ninunue VX nitestie mzuka wake... siti za nyuma zote natoa kwa muda!
 

Usitetee hii tabia ni mbaya!!!Wengine wanafanya kwenye parking za maofisini yaani jamani sio vizuri!!Halafu huwa nashangaa ivi mkishafanya kwenye gari asubuhi halafu mnaenda kazini ivi mnaoga wapi na saa ngapi jamani?
 
mkuu kugonoka haina fomulaa iwe kichakani,iwe kwenye boneti ya gari,iwe kwenye front siti au back siti ilihali mmeriziana sio kesi..tena mkuu mapenzi ya style tofauti hivyo yana jenga upendo kweli...kugonoka kwenye swiming nyo tamu.achia jikoni...
 

lol.....mhhhh! sikueziii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…