Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Kwa kweli hatuna dharau ila wafupi ndo wanajaribu kujenga hoja hii dhaifu pale wanapogundua kwamba tumewazidi kete. Kujiamini yes na hatukurupuki am 6.7ft
Me mfupi ft5.4 na dem wangu ni ni ft6 ila naishi nae vzr. Nikitaka dog style inabd niongeze ktu flan chin ili ni mfikie. So mapenz ni namna ambavyo ww unavo weza kumvutia mwanamke, ukarimu wako, ucheshi wako kijali kwako hata km ataenda huko atarudi analia. Nikweli mwanamke anavutiwa na body structure lkn atakimbia tabia zako km ulevi, uchafu, uasherati, kutojituma kutafuta, kutomjali nk. Ukiwa mwanaume wa kweli itang'oa madem warefu km mnaziHabari za mchana watazamaji, washangaaji na wachangiaji wa nyuzi mbalimbali za majukwaa pendwa ya mtandao wetu bora kabisa wa JF.
Baada ya salaam hiyo naomba niende moja kwa moja kuwazungumzia watu warefu kwa kimo kwenye suala la tabia zao, haiba pamoja na mitazamo yao kwa watu wanaowazunguka.
Kusudi la thread hii ni kutaka kupata maoni mbalimbali kuhusu tabia za watu hao hasa ukizingatia kuwa wengi tunaishi nao na kufanya kazi na wengine na marafiki zetu.
Nimeamua kuweka uzi huu ili kupata uhakika wa yale yanayosemwa kuhusu watu warefu wa kimo kwamba wengi wao ni watu wenye dharau ila hawana sifa, wanajiamini(they are confident), kwa wanapendwq na akina dada/wanawake na endapo mwanamke/mdada ni mrefu wanaume wanamuhofu.
Je wewe unawaelewaje watu wa aina hii?
NOTE:
Watu warefu wapo wachache sana sio kama wengi wanavyodhani,. Na urefu ninaousemea hapa na above 6ft yaani 6+.
Nakaribisha maoni yenu.
Watu warefu hujiamini sana (confidence), huwa wasafi na watanashati, humsoma mtu kwanza na hufanya maamuzi baada ya kufikira kwa kina hatukurupuki hovyo..hizi ni baadhi tu according to me!!!! Wengine wataongezea
Hahahahaha!! cc😡khantwe miss chagga & sister kujeni hapa.Me mfupi ft5.4 na dem wangu ni ni ft6 ila naishi nae vzr. Nikitaka dog style inabd niongeze ktu flan chin ili ni mfikie. So mapenz ni namna ambavyo ww unavo weza kumvutia mwanamke, ukarimu wako, ucheshi wako kijali kwako hata km ataenda huko atarudi analia. Nikweli mwanamke anavutiwa na body structure lkn atakimbia tabia zako km ulevi, uchafu, uasherati, kutojituma kutafuta, kutomjali nk. Ukiwa mwanaume wa kweli itang'oa madem warefu km mnazi
kumbe unazungumzia urefu wa kuanzia 6ft haya ngoja waje
Nami nasubiri nijue sifa zao....
Me mfupi ft5.4 na dem wangu ni ni ft6 ila naishi nae vzr. Nikitaka dog style inabd niongeze ktu flan chin ili ni mfikie. So mapenz ni namna ambavyo ww unavo weza kumvutia mwanamke, ukarimu wako, ucheshi wako kijali kwako hata km ataenda huko atarudi analia. Nikweli mwanamke anavutiwa na body structure lkn atakimbia tabia zako km ulevi, uchafu, uasherati, kutojituma kutafuta, kutomjali nk. Ukiwa mwanaume wa kweli itang'oa madem warefu km mnazi
Hapa patakuwa na vita soon
kumbe unazungumzia urefu wa kuanzia 6ft haya ngoja waje
Nlikua nakujib point hiyoWanapendwa na akina dada/wanawake na endapo mwanamke/mdada ni mrefu wanaume wanamuhofu
Hii ya warefu.....