Habari wana jamvi,
Nina kijana wangu ambae ana tabia ambazo mimi sifurahii kabisa maana ninazichukulia kama ni tabia za wadada fulani ivi wa kiswahili mfano mkiwa mnachati maneno kama baby yake,jomoni, niwache babu wee, au usinifanyie mwana mwenzio na hapa mkiongea mara nyingi anavitumia ivo vimaneno kwakweli mimi naona kero kabisa na pia nikiangalia na age yake naona hapaswi kufanya ivo.na nikimshauri usiwe unaongea ivo anakuwa mkali sasa mimi kiukweli mapenzi yameisha kabisa kutokana na hizo tabia zake naona kama bado hajakuwa. Au anakuandikia vifupi kwenye massage ukimuuliza anamaanisha nini anaona kama ninadharau .sasa nishamwambia tuache hataki na mimi sifurahii kabisa hizo tabia.