Jamaa mmoja alikua kwenye dala dala akiwa amebeba begi lake pajani huku akichati.
Lakini pembeni kuna mzee alikua anasoma sms zake.
Jamaa alivo mstukia mzee akaandika sms:
SMS: MWANANGU HUYU NYOKA MBONA KAMA AMEAMKA MAANA AMEANZA KUNISUMBUA NA NIKO KWENYE
GARI BADO.
Mzee: Kwa sauti kubwa akalia "Nyokaaaaa,dereva simama kuna nyoka humu"
Dereva alivo simama kijana akasema sio kweli,nilitaka aache kusoma sms nazo andika.