Tabia hii ikome mara moja

mgombea uvccm2017

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
505
376
Baada ya uchaguzi watanzania huwa tunaacha tofauti zetu na kuungana kujenga taifa

Serikali inayokuwa madarakani huwa ya watanzania na sio chama flani

Naomba watanzania wenzangu hii tabia ya kuvaa nguo za chama ( especially chama changu) kwenye shughuli za kitaifa ikome na inatuabissha

Waziri anaenda kuzindua kitu mijitu inakuja na minguo yao ya chama mmetumwa? Au huko kwenu hna nguo za kuvaa maskini nyie?

Acheni kujidharirisha na kuonesha ni jinsi gani mlivyo maskini wa nguo na maskin wa roho

Jana i.ejitokeza wakati anko anazindua daraja na imetia aibu!

Kwani kagame mpinzani mpaka mvae majezi

stupid and poor people


Mgombea uvccm2017
 
Back
Top Bottom