mnakumbuka siku cdm walipofanya mkutano mkubwa sana Arusha (zaidi ya watu 7,000) kueleza kwamba watakata rufaa ya hukumu ya Lema? kuna mtu aliona hiyo habari TBC?leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni nani anahusika kukata matangazo ya bungeni?na hii sio mara ya kwanza ,hata juzi kati siku anaapishwa Joshua nassari walizuia sauti ili tusisikie alivyokuwa akishangiliwa.jamani wanaJF,tufanyeje kuhusu hili?hii TBC si ya kodi zetu?
Mimi naangalia TBC chanel 143 kupitia DSTV na hamna saa matangazo yamekatika. Labda tatizo litkuwa la antena yako au king'amuz chako
TBC ni mali ya CCCCCCCMMMMMMMMMMMM
Labda hiyo decorder yako ina gono..! Wenye DSTV tumemsikia Zito na kumuona clearly!Acha uzushi mi nipo pia DSTV na matangazo yalikatika masaa hayo labda kama wewe umefungua baadae baada ya matangazo kukatika. Ni tabia ya hao TBC maana tunawajua, mbona wakati wa kampeni pale jangwani kabla Dr. Slaa hajaanza kuhutubia Marine alilikoroga hadi akapigwa kichapo ndo matangazo yakawa hewani tena? Kifupi TBC inatumia pesa za kodi zetu lakini inahudumia mfumo dhaifu na hafifu wa utawala katika nchi yetu. Wengi wa watangazaji wanatoka hapo jirani na Makumbusho kujiita ni usalama. Kuna baadhi wa watangazaji hata kipindi cha kutoka magazetini wanafunika sehemu inayoonesha kuikosoa serikali. Wakati mwingine waligoma kabisa kusoma hata vichwa vya magazeti kama ya raia mwema na mwana halisi. Ni tabia yao chafu ni afadhali wajulikane kama radio uhuru tu.
Comrade TBC ni mzigo mzito kwa watanzania tena unaokera,kwa mtini tujifunze,
leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni nani anahusika kukata matangazo ya bungeni?na hii sio mara ya kwanza ,hata juzi kati siku anaapishwa Joshua nassari walizuia sauti ili tusisikie alivyokuwa akishangiliwa.jamani wanaJF,tufanyeje kuhusu hili?hii TBC si ya kodi zetu?
mimi naangalia tbc chanel 143 kupitia dstv na hamna saa matangazo yamekatika. Labda tatizo litkuwa la antena yako au king'amuz chako
Inatakiwa itoswe kama ATC!Comrade TBC ni mzigo mzito kwa watanzania tena unaokera,kwa mtini tujifunze,
Me ni mwanachama wa chadema damu lakini pia me nimeangalia kupitia Dstv nimeona haduma ya mh Zitto hadi mwisho wake,wanao tumia star times ina matatizo picha zao huwa zinapotea hewani tu ghafla inasema No signal
leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni nani anahusika kukata matangazo ya bungeni?na hii sio mara ya kwanza ,hata juzi kati siku anaapishwa Joshua nassari walizuia sauti ili tusisikie alivyokuwa akishangiliwa.jamani wanaJF,tufanyeje kuhusu hili?hii TBC si ya kodi zetu?