Kupitia ving'amuz matangazo hayajakatika...teknolojia unayotumia kuyaangalia matangazo ya tbc ndio imekuangusaha, but TBC wenyewe hawana matatizo kabisaKweli nimeamini upo kazini!hata hili hutaki kukubali?
Mimi naangalia TBC chanel 143 kupitia DSTV na hamna saa matangazo yamekatika. Labda tatizo litkuwa la antena yako au king'amuz chako
leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni nani anahusika kukata matangazo ya bungeni?na hii sio mara ya kwanza ,hata juzi kati siku anaapishwa Joshua nassari walizuia sauti ili tusisikie alivyokuwa akishangiliwa.jamani wanaJF,tufanyeje kuhusu hili?hii TBC si ya kodi zetu?
mbona mi nimeona hatuba mwanzo mwisho?
Tatizo watu wanajianzishia tu thread bila kufanya analysis! Matatizo yao wenyewe wanayageneralize kwa watu wote!Mimi naangalia TBC kwa kutumia antena. Nimemsikiliza Zitto mwanzo hadi mwisho bila interruption yoyote.
Mimi sijaona tatizo la TBC toka muda bunge limeanza leo na Mh. Zitto kaongea vizuri ila nakumbuka dada mmoja mreeeeeembo alivaa kama batiki, yani nywele kaweka kama ninavyopenda nataman arudie tena na jina lake silijui aliongelea sana uchumi yule dada nikajikadiria ananifaa sana sijui Zitto na Mnyika and Nassari wamemuona?
Jaman hivi anaitwa nani yule dada nahisi kama wa viti maalum
Mic yake ilisumbua sana lakini mama Makinda akamwambia "Can you move to the next mic"
Aaaah
Magazeti siku hizi wanasoma Uhuru,Mzalendo,Zanzibar leo Habari leo then kwisha kazi
leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni naniu anahusika kukata matangazo ya bungeni?na hii sio mara ya kwanza ,hata juzi kati siku anaapishwa Joshua nassari walizuia sauti ili tusisikie alivyokuwa akishangiliwa.jamani wanaJF,tufanyeje kuhusu hili?hii TBC si ya kodi zetu?
womanazer
Mimi naangalia TBC chanel 143 kupitia DSTV na hamna saa matangazo yamekatika. Labda tatizo litkuwa la antena yako au king'amuz chako