Penelope
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 713
- 641
Hakuna mtu aliekamilika hata kidogo,hata mwanamke awe mzuri kiasi gani ama mwanaume awe mzuri lazima kutakua na kasoro kwenye tabia ama mambo anayoyafanya yanakukera na bado unavumilia,,Hasa kwenye Ndoa ndo balaa,mtu anachoka ama anakerwa na tabia ya mwenzake mpaka anatamani mwenzake asafiri kwa mda ama hata asimuone hapo nyumbani mda mrefu.