Tabata imevamiwa na wadangaji

Tabata imevamiwa na wadangaji

Mbona vitu vya kawaida sana, Kama unatembea usiku kwy sehemu za starehe. Dar es salaam sehemu nyingi madanga wapo na sehemu ambazo kwny carwash, gereji, chooni na sehemu ambazo kuna Walinzi ndio sehemu za kufanyia mapenzi
Hivi Mlinzi Huwa anakula shilingi ngapi pa gemu? Aiseee ndiyo maana walinzi wanalipwa elfu themanini kwa mwezi lkn familia inaenda Na wanajenga Na kusomesha
 
Mtoa mada habari kama hizi utoe kwa maelekezo yakinifu. Vipi wamejazia neema za Alah, je ngozi inacalculator au mororoooo.?
 
Hasa akisema hana shughuli...maalum....
Brother.we acha tu nilimtongoza dem anakaa tabata kimanga alikuwa active Sana kwenye kuchat all the time nikimtext ana reply nikawa namuhoji maswali anaishi.wapi.anafanya kazi gani na anaishije.ila majibu yake yalinichosha kabisa eti anaishije mjini wakati yy mtoto wa kike . kumbe ni mdangaji
 
Ni old friends?umewastukia tu au uliwakuta sokoni?

Ni new friends!

Baada ya ku hang out nao ndo nimewastukia.

Wapo sana kwenye social media...Instagram....Snapchat...etc.

Wao hawasimami barabarani. Zao ni kwenda kwenye sehemu mbalimbali za starehe na kutegesha huko.

Imagine huwa wanatoka Tabata Bima kwenda Triple 7!

Na kimuonekano wako vizuri. Ukikaa nao na kupiga nao stori wanakwambia wamemaliza CBE na sasa wanatafuta kazi.

Binafsi sidhani kabisa kama hata sekondari wamemaliza wale.

Wako wawili na wanaishi pamoja. Unaweza hata kwenda wanapoishi.....
 
Ndo halihalisi Dar siku hizi..
ukikuta msichana anakwambia naishi na rafiki yangu halafu natafuta kazi ujue
ndo hao hao.....wakianza kuzeeka wanakuwa wana pimp young ones hata wadogo zao kabisa.....hatari
 
Halafu....what’s up with this ‘nasoma CBE’ au ‘nimemaliza CBE’?

Ndo chuo chenye chati kwa warembo au?
 
Halafu....what’s up with this ‘nasoma CBE’ au ‘nimemaliza CBE’?

Ndo chuo chenye chati kwa warembo au?

CBE si kama evening classes? halafu kiko city centre..na vikozi vidogo vidogo
sijui certificate ya nini na nini...

ili ukimuona jioni anaelekea city centre au anatoka huko usijiulize anaenda fanya nini...
atakuambia anaenda kusoma na wenzie na ni jumamosi jioni....au jumapili jioni
halafu atakuambia alilala hostel kwa rafiki yake.....hahahaa
 
Aisee! Hawa dada zetu sasa wamefikia kubaya yaani Ingekuwa ni novel au play ukiulizwa "Potrayal of women in the Urban" basi automatically utasema "women are portrayed as Prostitutes"!!!
 
Mkuu jina lako lenyewe "Nalamba Yote" - haukuwala kweli hao Madada?? Au ndio unawapigia "Promo" huku tujue vijiwe vyao - ili wanaotaka kwenda "kujivinjari" waelekee huko???
Mkuu promo tena?,ili iweje sasa?,...unafikiri nilikuwa najua?....nakuapia ckuwa najua chochote ila kiasi flani walikaribia kunipata aisee...jina lisikutie shaka mkuu maana huwa balamba mchuzi woote
 
mitaa gani zipo!?..manake mie najua zaidi makanisa,misikiti,benki,vyuo..sasa nataka niende tukatumie hizo kondom na tishu..mtoa mada,walikua na nyama au vimbaumbau
Aisee mmoja alikuwa na nyama za kutosha ila wengine walikuwa size ya kati
 
......samsin is not adding up.

Ulipiga bana. Kuja kustuka ndo ukawahisha dawa home.
haki ya nani ningepiga ningesema,sema wamenitamanisha hadi natamani nirudi nikapige,shetani hajanipitia tena.
 
Back
Top Bottom