Hebu waelekeze wana nzengo jinsi ya kujiunga na hilo groupKuna Group nipo kuna madem ndo zao kudanga Tabata
Kuna mmoja tulikutana kwenye mtandao wa Badoo anakaa sinza lions first time kuonana tukakaa sehem moja hivi kma outdoor space hivi imetulia.kumbe ndiyo eneo lake la kazi nikaagiza.bapa la konyagi na crest na yy akaagiza st Anna wakati wa maongezi huku tunakunywa yy alikuwa busy sana kuchat.kumbe alikuwa anachati na malaya wenzake.kuna mmojawapo alimtumia ujumbe mfupi wa maneno kuwa.naona danga limenasa umelipata wapi naona lipo vizuri.hiyo msg niliona kwa mbali kwa kuwa ni usiku simu zinakuwa na mwanga sana..hapo hapo nilichokq nikamuagizia mchemsho wa kuku na kuondokaNi new friends!
Baada ya ku hang out nao ndo nimewastukia.
Wapo sana kwenye social media...Instagram....Snapchat...etc.
Wao hawasimami barabarani. Zao ni kwenda kwenye sehemu mbalimbali za starehe na kutegesha huko.
Imagine huwa wanatoka Tabata Bima kwenda Triple 7!
Na kimuonekano wako vizuri. Ukikaa nao na kupiga nao stori wanakwambia wamemaliza CBE na sasa wanatafuta kazi.
Binafsi sidhani kabisa kama hata sekondari wamemaliza wale.
Wako wawili na wanaishi pamoja. Unaweza hata kwenda wanapoishi.....
Nimekuelewa sana mkuuwil ia m ,
Mkuu,
Haaa haaa haa haaa.
Sielewi kasi ya dunia awamu hii ya tano Mjomba. Nawaza Sana hadi pumzi inakata kama mambo ndiyo yashakuwa hivyo.
Ushanifahamu ninachomaanisha mkuu!?
Hahah ndio MkuuWatembee na EFD au siyo!
Wanajinadi wenyewe au mpaka uanze kuongeaUkishuka bima kituoni acha barabara ya segerea kata kulia,ulizia MTU yyt hapo ni mwendo Wa DKK km 3 au 4 Kwa miguu
Uliripoti polisi kwani wanatumia mwili wako?Mkuu hawa Malaya wa hapa tabata wala awapo uchochoroni wapo main road kabisa tena hatua 30 IPO ofisi YA serikali YA mtaa na ofisi ccm.Mkuu wanaowalea hawa Malaya ni walinzi wa hiyo car wash kwa sababu wanapokuambia muingie Choon mlinzi ndie anapewa pesa YA location buku au buku mbili .... Awa ni masalia ya iliyokuwa Swiss pub ndio wamekomaaa na kijiwe chao hadi kishajulikana..... Hawa wateja Wao wengi ni walev wa bar zilizopo maeneo YA jiran na hapa forty 40,KP. Kwetu pazuri, micasa, the great park... Kama majiran tulisharipoti polis mwishowe tumechoka kwa sababu polic wakija kuwakamata kesho unawaona wanarudi alafi ni watu wazima vibibi....
Mkuu HV tukijaribu kuchukua sheria mkononi,tukaunda kikundi cha sungusungu,tukakisajili na kukitambulisha Kwa serikali,...hatuwez kutandika viboko hawa watu pa1 na wateja wao mwanzo mwisho Kwa mwez mzima patrol SAA 2 ucku hadi SAA kumi alfajir?Mkuu hawa Malaya wa hapa tabata wala awapo uchochoroni wapo main road kabisa tena hatua 30 IPO ofisi YA serikali YA mtaa na ofisi ccm.Mkuu wanaowalea hawa Malaya ni walinzi wa hiyo car wash kwa sababu wanapokuambia muingie Choon mlinzi ndie anapewa pesa YA location buku au buku mbili .... Awa ni masalia ya iliyokuwa Swiss pub ndio wamekomaaa na kijiwe chao hadi kishajulikana..... Hawa wateja Wao wengi ni walev wa bar zilizopo maeneo YA jiran na hapa forty 40,KP. Kwetu pazuri, micasa, the great park... Kama majiran tulisharipoti polis mwishowe tumechoka kwa sababu polic wakija kuwakamata kesho unawaona wanarudi alafi ni watu wazima vibibi....
Dooh!!!Kuna Group nipo kuna madem ndo zao kudanga Tabata
Kwani wanaharibu mwili wako au miili yao,waache hao watu wanatusaidia kutuliza kiu Za fasta fasta,vipi mchana Huwa wanakwepo?Mkuu HV tukijaribu kuchukua sheria mkononi,tukaunda kikundi cha sungusungu,tukakisajili na kukitambulisha Kwa serikali,...hatuwez kutandika viboko hawa watu pa1 na wateja wao mwanzo mwisho Kwa mwez mzima patrol SAA 2 ucku hadi SAA kumi alfajir?
Toa maelezo yanayojitosheleza ni Tabata ipi?