Sugu


Dah!! Sa na hii Nyumonia kali itakuwaje....anyway Tabata tangulieni mkatuadalie makao..Tunaomba mamlaka husika zichukue hatua au zichukuliwe hatua. Tabata na vitongoji vyake na pengine tabata nzima maji ya dawasco hayatoki na hakuna taarifa yoyote...
Tunaomba mamlaka husika zichukue hatua au zichukuliwe hatua. Tabata na vitongoji vyake na pengine tabata nzima maji ya dawasco hayatoki na hakuna taarifa yoyote..
Tabata gani hiyo unayokaa wewe?,nipo Tabata hapa St Mary College nina miaka zaidi ya 5 sijawahi kusombelea madumu ya maji na madumu yenyewe nishatupa.Tunaomba mamlaka husika zichukue hatua au zichukuliwe hatua. Tabata na vitongoji vyake na pengine tabata nzima maji ya dawasco hayatoki na hakuna taarifa yoyote...
Mkuu mtu kama hataki kulipa Ankara asitegemee maajabu.Mkuu kwan kakwambia hajlipa bili ?, mambo mengine bana , acha ujinga mkuu, kwamba Maji hayatoki sehem zote , kwa hiyo unataka kusema , watu wote tabata nzima hawajalipa bill
Acha hizooo wewe nani kakwambia sahv wapiga dili huko serikalini hawapo?Mkuu mtu kama hataki kulipa Ankara asitegemee maajabu
Mkuu nchi hii sio kama zamani watu walikua wanalindana na kuishi kiujanja ujanja q
Lipeni hili hakuna cha bure
Mkuu mambo yote waziAcha hizooo wewe nani kakwambia sahv wapiga dili huko serikalini hawapo?
Kila awamu inakwenda na watu wake
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app