Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,774
- 11,255
Sasa nchi tajiri hii inakuaje tena wananchi hawajawahi kuona maji ya bomba?Yaani maji kutotoka wiki unakuja kulia lia humu? unajua kuna mamilioni ya watu hawajawahi kuunganishiwa maji na wananua maji kila siku au kutegemea maji ya mvua au kuchota kwenye mabwawa na madimbwi yanayotumiwa pia na mifugo!?