Tunaomba mamlaka husika zichukue hatua au zichukuliwe hatua. Tabata na vitongoji vyake na pengine tabata nzima maji ya dawasco hayatoki na hakuna taarifa yoyote.
Tangu mzee Magufuli aende kupumzika kwao tumekatiwa maji. mambo mengi napishanaga nae huyu mzee na chama chake ila suala la kupiga spana watumishi mizigo niko nae mia kwa mia.