Nzuguni Dodoma, hatuna maji kwa zaidi ya miezi miwili na bili tunalipiswa. DUWASA wako kimya

comrade Malilo

New Member
Mar 19, 2017
2
4
Kwa zaidi ya miezi miwili maji hayatoki mitaa ya Nzuguni B’ Dodoma, na DUWASA haisemi chochote, then chakushangaza bado tunaletewa bili tulipe. Tafadhali Wizara ya Maji na mamlaka husika zichukue hatua juu ya hili swala.
 
Huo mji walitumia akili ndogo kuhamia...heri wangepeleka kwanza maji kutoka kidatu wangesaidia ukuaji wake sana
 
Maji hayatoki,it means hakuna bill kwa mwezi,sasa wewe unawezaje kulipia kitu ambacho hakipo na hijakitumia miezi miwili?

Hii ni fiksi!
 
Watanzania mmejaa ujinga,sasa hapo unataka Mamlaka zipi zichukue hatua,si ww ndio unatakiwa uchukue hatua kwa kulipishwa huduma usiyoipata.
Kwanza unaanzaje kulipia kitu ambacho hukipati halafu unakuja hapa kulalama Mwanaume mzima.
 
Back
Top Bottom