Tabata fan page in facebook

Tabata Dsm

Member
May 18, 2012
22
2
KWA WAKAZI WA TABATA NOW TUNA FAN PAGE YETU KWENYE FACEBOOK, INAITWA (Tabata,Dar es salaam) profile picture yake ni kapicha ka sungura wa pinky.......CYO MBAYA UKIJIUNGA NA PAGE YAKO YA MAKAZI, asanteni & mnakaribishwa
 
we unaishi tabata ipi?

Tbt kwa wala bata.
 
NitaLIKE kama utanilipa,mana si kazi ndogo kuwa fan
 
tabata njia ya mafuriko kule majanga tu

ha ha ha!kule kwa watu wazito sana..ni bata kwenda mbele.bata kuanzia wallet bata zinaenda nyantare bata zinaamia Viena pub bata kwa mfojo bata tu kule segerea mpaka kimanga.
 
Back
Top Bottom