Mtoto akiwa na maisha yake ya uhalisia hata tabasamu lake huwa halisi, sio la kufoji.No mobile, No toys, no pizza, no fancy clothes! Look at their faces, they smile wholeheartedly because money can’t buy happiness. These pictures did put a smile not just on my face but also in my heart. Enjoy!!!
View attachment 1128524View attachment 1128526View attachment 1128527View attachment 1128528View attachment 1128529View attachment 1128530View attachment 1128531View attachment 1128532View attachment 1128534
Wanafurahisha hata kuwaangaliaNapenda sana pich za stail hiyo nyingine hii mkuuView attachment 1128539
HakikaUkimnyima mtoto hizi raha za utotoni, ukubwani atatusumbua sana.
Hapo kweli mkuu hakuna la unafikiNo mobile, No toys, no pizza, no fancy clothes! Look at their faces, they smile wholeheartedly because money can’t buy happiness. These pictures did put a smile not just on my face but also in my heart. Enjoy!!!
View attachment 1128524View attachment 1128526View attachment 1128527View attachment 1128528View attachment 1128529View attachment 1128530View attachment 1128531View attachment 1128532View attachment 1128534
Saizi watoto wanaishi mfano wa "Zero Grazing" mtoto hapati muda wa kujiachia muda wote amefungiwa tuUkiwa kwenye maisha ya hivi uwe na kundi flani au kampani flani hivi amaizing utainjoy sana hili life ila ukikosa hivi vitu litakuwa gumu
Nature ya maisha ya sasa hivi yamekuwa ya ajabu sana ukimuacha mtoto careless utakachokipata kwa mwanao ni majanga.Saizi watoto wanaishi mfano wa "Zero Grazing" mtoto hapati muda wa kujiachia muda wote amefungiwa tu
Nikweli mkuu maisha yamebadirika sana inahitaji umakini, ila Baba angalau ukiwepo home pata muda wa kumtoa kidogo nje akiwa chini ya usimamizi wako tu.Nilienda kwa jamaa yangu fulani mtoto anaogopa watu wageni maana muda wote yupo ndaniNature ya maisha ya sasa hivi yamekuwa ya ajabu sana ukimuacha mtoto careless utakachokipata kwa mwanao ni majanga.
Tunaogopa sana, walimwengu wamekuwa wa ajabu kwahiyo ukitaka mtoto apitie hizo mambo sharti uwe karibu la sivyo ni hatari...Saizi watoto wanaishi mfano wa "Zero Grazing" mtoto hapati muda wa kujiachia muda wote amefungiwa tu