Tabasamu la mke wangu.

Tabasamu la mke wangu.

Joined
Mar 2, 2013
Posts
63
Reaction score
7
Tabasamu la mke wangu.
 

Attachments

  • Photo0022.jpg
    Photo0022.jpg
    30.5 KB · Views: 648
Kuna jukwaa la kutafuta masoko ya matabasamu...
 
Piga chini mkuu mbona tabasamu lake la kiboya hivi? lazima atakua kicheche tu!
 
Unamuuza mkeo! Kweli jf imevamiwa!! Au unamtafutia umaarufu mkeo mitandaoni!!,
 
Kwa hiyo tufanyeje. Kuna mtu amekutuma labda kumwonyesha tabasamu la mkeo? Kama huna post yenye akili piga chini mkuu.
 
Namjua uyo,ni mwalimu wa shule ya msingi! Anapenda kutabasamu uyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom