Tabasamu la Lissu kama la Nelson Mandela. Mpigania haki ni mpigania haki tu

Tabasamu la Lissu kama la Nelson Mandela. Mpigania haki ni mpigania haki tu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Highly spirited Tundu Lissu like Nelson Mandela
image_search_1748176297848.jpg
image_search_1748176281003.jpg
 
Kuna tofauti kubwa sana..LISU ni pro-wazungu wakati MANDELA ni anti-wazungu
si sahihi kabisa kulinganisha TAL na Nelson Mandela, huyu ni TAL ni mtafutaji maisha kama sisi wengine
 
Kuna tofauti kubwa sana..LISU ni pro-wazungu wakati MANDELA ni anti-wazungu
Mandela hakuwa anti "Wazungu" alikuwa anti Apartheid Lissu ni anti autocracy rudi shule.
 
Anti apartheid ndo anti wazungu...maana hio apartheid ilikuwa ikiongozwa na wazungu...
Nyie LISU amewashika mpaka akili zenu
wenyewe wanamwona ni mkombokozi wa maisha yao :CarltonPls:
 
Anti apartheid ndo anti wazungu...maana hio apartheid ilikuwa ikiongozwa na wazungu...
Nyie LISU amewashika mpaka akili zenu
Apartheid sio anti wazungu Mandela angeweza kuwafukuza Wazungu aliposhika madaraka lakini alichofanya ni kudismantle Apartheid system.Lissu kwa upande mwingine anataka kuuondoa huu mfumo wa KIIMLA na kuleta DEMOKRASIA ya kweli
 
Hadi wewe?

Basi yule Akida (diwani) akajipigapiga kifua na kusema ‘ Hakika huyu ni Mwana wa Mungu’

😁😁🇹🇿
 
Kuna tofauti kubwa sana..LISU ni pro-wazungu wakati MANDELA ni anti-wazungu

Mwongo mkubwa wewe.

Lisu ni pro wazungu kwa kitu gani?

Mandela alitolewa jela kwa nguvu ya wazungu. Hata Lisu ataachiwa na wadhulumaji wa haki kwa shinikizo la wazungu.

Mungu wetu uzidi kumjalia ushindi Tundu Lisu, aliyekubali kuteseka kwaajili ya haki ya wengi, ambao wanaodhulumiwa na watawala katili wasiotaka haki itamalaki.
 
Hivi hao wanaojifunika sura ni kwamba wana sura mbaya sana wanaogopa watu watakufa wakiyaona masura yao mabaya
 
Back
Top Bottom