binjo
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 2,115
- 1,240
Gafla namuona LusindeUmempiga rungu la kichwa!!!!
Analeta mambo ya kusifiasifia mtu kibwegebwege!!!!!
Gafla namuona LusindeUmempiga rungu la kichwa!!!!
Analeta mambo ya kusifiasifia mtu kibwegebwege!!!!!
Hakuwa Cisco alikuwa Antony Itatiro JK akamtumbua Itatiro na nafasi ya Itatiro kama mkuu wa itifiki ikachukuliwa na balozi Mohammed Maharage.Samahani mwandishi was habari, katika kumbukumbu zangu wakati wa utawala na Jakaya Kikwete,paliwahi kutokea mtafaruku kuhusu ziara ya Kikwete!
Taarifa zilitolewa kwamba mkuu wa Itifaki alipanga safari hewa ya Mzee Kikwete na waliomba 2B! Lakini watu wa foreign affairs wakasema mbona hii safari haipo? Mkuu wa itifaki akatolewa kwenye cheo chake! Naomba kujua ndo huyu marehemu Cisco??
yap,ndo huyu jamaa alitaka kupigaSamahani mwandishi was habari, katika kumbukumbu zangu wakati wa utawala na Jakaya Kikwete,paliwahi kutokea mtafaruku kuhusu ziara ya Kikwete!
Taarifa zilitolewa kwamba mkuu wa Itifaki alipanga safari hewa ya Mzee Kikwete na waliomba 2B! Lakini watu wa foreign affairs wakasema mbona hii safari haipo? Mkuu wa itifaki akatolewa kwenye cheo chake! Naomba kujua ndo huyu marehemu Cisco??
ama kweli bro wewe nguli wa haya mambo, swaumu njema.Nnangale,
Kisa kile ni muhimu sana si kwake tu bali hata kwangu.
Naamini kilimfunza Cisco ukweli wa mambo.
Sikutaka kuingiza machungu katika taazia yake.
Al Watan,May all beings attain enlightenment.
Mohamed Said Naona picha nyingine hazionekani.
Umenikumbusha mabitozi wa zamani kina balozi Maharage.
Balozi Maharage alivyokuwa kijana akipita maskani hakosi kuwa na copy ya Newsweek au Time Magazine au kitabu cha James Hadley Chase.
Hawa kaka zetu walituhamasisha sana kufuatilia habari zinazoendelea duniani miaka hiyo ya Nyerere.
Shukran sana mkubwa. Pole sana. Msiba mkubwa huu.Al Watan,
Nimerekebisha sasa picha zote zinaonekana vizuri.
Ingia hapa:
Mohamed Said: TAAZIA: BALOZI ABDULKARIM OMAR MTIRO (CISCO) 1950 – 2017 KUTOKA GEREZANI NA TEMEKE HADI DUNIANI
Ndesamburo na Saigon havichangamani kama mafuta na maji.Dah Ndesamburo kafariki kabla ya Cisco ila sijaona ukimwandikia haya au hana cha kuandikwa?
Sodoliki,Brother mohammed, kuna wakati Sisco kabla ya kuingia Wizara ya Mambo ya nje alikuwa anafanya kazi National Housing Corporation, na wakati huo alikuwa anaishi Magomeni, nahisi walikuwa na nyumba hapo sikumbuki mwaka lakini kama sikosei ni kama 74 - 76 hivi , hii hukuitaja
Roshnee,Mzee Said nakukubali sana, Mwenyezi Mungu atutunzie mwandishi wetu.
Dingswayo,Cisco alikuwa mcheshi na aliyekuwa anapenda watu. Nakumbuka pia alikuwa anapenda muziki. Enzi hizo tukiwa Chuo Kikuu DSM tulikuwa tunakwenda kumtembelea pale Chuo cha Diplomasia mimi na Mwandembwa na kusikiliza muziki kwenye 'music system' yake.