Lizen Matari
Member
- Sep 7, 2018
- 15
- 1
Habari zenu JF?
Nimesikia kuna taasisi zinazotoa mikopo ya mikataba ya ujenzi( wanakujengea nyumba/frem kwa ajili ya biashara) kisha baada yakukamilika ujenzi, wanajilipa tozo yao kupitia hiyo biashara itakayokuwa inajiendesha katika huo mradi wao wa ujenzi.
Shida yangu; ninaomba kwa yeyote mwenye info zozote juu ya hili anisaidie.
Nina kiwanja chenye ukubwa wa nusu ekari, kipo maeneo ya Tabata, so ninahitaji hizo kampuni niingie nao mikataba.