Hivi huko kwenye mafunzo Yao huwa wanafundishwa kuchukua rushwa kilazima maana ma police wote nchi nzima wanatabia za kufanana ikifatiwa na uhamiaji, haya majeshi yajichunguze ikiwezekana wabadili mafunzo why chombo Cha kusimamia usalama kiongoze kwa rushwa?
Mbona walinzi binafsi huwa hawataki rushwa
Mifumo ya polisi ni mibovu inataki mifumo Yao yaki utawala ibadilishwe wao Wana tumia mitaala ya kikolon kufundishia na Sheria za kikoloni ambazo haziendani na maitaji ya wakati tuliopo
Mifumo ya polisi ni mibovu inataki mifumo Yao yaki utawala ibadilishwe wao Wana tumia mitaala ya kikolon kufundishia na Sheria za kikoloni ambazo haziendani na maitaji ya wakati tuliopo
Ni kweli inabidi wa change syllabus na wajue Wana deal na raia, maana police hao hao hawaheshimu sheria na haki za watu wenye makosa, nchi hii ni yetu na waache ku treat watu kama wakoloni, mtu amekosea umesha mkamata kwanini uanze kumpiga na kumzalilisha
Taasisi zinazoongoza Kwa Rushwa ndogondogo za Kila siku ni Polisi, Tanesco, lakini Rushwa kubwakubwa za kifisadi ni Wizara ya Nishati, madini na wizara ya ujenzi. Humu Rushwa zao ni za kuuza nchi kabisa. Mabilioni, mfano escrow
Hivi mnadhani ni kwa nini hawataki katiba mpya? Rushwa imeanza juu ikashuka mpaka chini,
Ndio mana wakisikia katiba mpya lazima wakupe kesi ya ugaidi,
Wana kamsemo kao police, wanasema kuingia ni bure ila kutoka ni hela yaani ni lazima