JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,112
- 3,536
Salamu wanajamvi!
Ni ukweli usio pingika kuwa polisi kama taasisi na TAKUKURU wameshikwa na kigugumizi cha kiutendaji! Wameshindwa kuanzisha uchunguzi wa kijinai Ndugu Paul Makonda kwa tuhuma zinazo mkabili.Je, makonda ana political immunity ? Hapana! Kwanini wanamuogopa? Hakuna ajuae. Lakini tunaweza tukaunganisha dots tukajua sababu !
Binafsi nimeshangaa sana lakini ndio Tanzania yetu, sheria zina macho na tochi! Polisi hawahawa na TAKUKURU wangeambiwa kuwa kwenye Halmashauri fulani kuna dereva anatumia vyeti au jina lisilo lake, ungeshangaa jinsi maneno ambavyo yangewatoka kwenye tv na vyombo mbalimbali vya habari! Huyo mtu angekuwa ameshakamatwa zamani na kwamba wangeiomba mahakama imfunge miaka kumi jela ili iwe fundisho kwa watu wengine.
Mpaka natamani na mimi ningekuwa Msukuma yaani nisinge guswa kwa lolote na taasisi yeyote. Baraza la mitihani wako kimyaaa! Waziri wa elimu kimyaawa! Yaani kila mtu kimyaa, wanaogopa kumgusa mtoto mpendwa ! Hahaaa hongera sheria kwa kuwa na macho miwani na tochi!!