Napenda kuuliza kwa wanaojua na wenye uzoefu: je hizi taasisi unapokwenda kuomba chuo na ukaletewa offer ya chuo mfano gharama ya masomo na malazi $3200 na ilipa hiyo taasisi kwenye acc yake je huwa kuna gharama zao zingine huwa wanakuchaji mbali na hiyo offer au wao hulipwa na chuo kuna makubaliano yao? Swali la pili kushika chuo mpaka kufikia kukatwa pesa na mwenye hiyo taasisi kwa kusema ulishika chuo A hukuenda umeomba B tumekupela kwa hiyo chuo A wamekukata pesa.
Je, hapo sikuwa na offer ya chuo A wala hwajanipa ila mwenye taasisi kanieleza hivyo dalili ni ipi mpaka nikatwe pesa. nimeuliza swali hili ili wajuzi watupe maelezo.
Kuna mwenzangu kakatwa pesa za gharama ya hiyo kampuni na nyingine kaabiwa slikuwa anabook chuo lakini hajawahi kupata offer ila kakatwa jumla dolla 1800 zimeenda hewani