Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Baada ya siku za nyuma kutoa tafiti ambazo zilionekana kutokuendana na uhalisia, imani ya wanainchi wengi juu ya matokeo ya tafiti za TWAWEZA ilishuka.
Sasa ikiwa wanaelekea kuchapisha tafiti zao mpya, taasisi hii ijitahidi kutoa tafiti zinazoendana na uhalisia ili wananchi wajenge imani tena na tafiti zao.
Pia TWAWEZA wajiepushe kutumika kisiasa katika kuandaa na kuchapisha tafiti zao...
Ongezea na mengine ambayo ungependa TWAWEZA wayafanye katika tafiti zao...