Taasisi hizi mbona hatuzisikii tena?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
Zile taasisi za wake wa Marais waliopita mbona hazisikiki tena au ndio zishakufa rasmi?

Hapa nazungumzia EOTF ya Anna Mkapa na WAMA ya Salma Kikwete mbona hazina tena kick kama zamani? Pia tunaomba TRA wapite kukagua jinsi gani taasisi hizi kama zilikuwa zinalipa kodi au walikuwa wakwepaji wa kodi?

Wenye kujua mje mtujuze kama taasisi hizi bado zipo hai au zilishakufa.
 
Back
Top Bottom