Wana Mtwara wanaiuliza NEC ,ni nani anaghalamia Uchaguzi Arusha Mjini?,na ni nani atalilipia SHANGINGI la LEMA alilokopa?,
hivi jamani kila kitu lazima kupost jf? Hili swali si unaweza kumuuliza hata jirani yako tu? Akili za wapi hizi?
ni zero kwa kweli kama huna cha kusema! basi ya wenzio kaka.
Wana Mtwara wanaiuliza NEC ,ni nani anaghalamia Uchaguzi Arusha Mjini?,na ni nani atalilipia SHANGINGI la LEMA alilokopa?,
tatizo ni la mods waliozuia guests
Watu wa Mtwara wameuliza swali la msingi linaitaji majibu.