Taarifa za Bunge hazipatikani katika mtandao

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,950
Reaction score
6,618
Hiki ni kikao cha Bunge cha Kumi na Tatu,Mwezi August, lakini Hansard ya mwisho katika mtandao ni ya June.
Siyo Bunge tu.
Mahakama pia. Haiwezekani ku download kitu chochote kwenye website ya Mahakama
 
Hiki ni kikao cha Bunge cha Kumi na Tatu,Mwezi August, lakini Hansard ya mwisho katika mtandao ni ya June.
Siyo Bunge tu.
Mahakama pia. Haiwezekani ku download kitu chochote kwenye website ya Mahakama
 
Attachments

  • 1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 2
We ni taila Nini TAARIFA Gani Sasa?
Sio vizuri mkuu.
Umetumia Lugha mbaya sana ndugu yangu.
Si vizuri kutumia maneno makali kiasi hicho na si uungwana.

Wewe ni platinum member ulipaswa kuwa Mfano.

Kama ningeweza kukushauri ningekushauri umuombe Radhi, Maana sisi wengine ni wajukuu wa Mwalimu Nyerere.
Hao akina Andrew kwangu ni kama Baba wazazi.

“Neno lo lote lililo ovu lisitoke vinywani mwenu, bali lililo jema la kumfaa mwenye kuhitaji, ili liwape neema wanawalisikia.” — Waefeso 4:29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…