Taarifa ya UVCCM kwa vyombo vya habari

Taarifa ya UVCCM kwa vyombo vya habari

Sasa mnatuhadithia historia ya nchi au?

Vijana wa Dodoma siku ya uhuru ni siku ya mapumziko, kama una shamba bora hiyo siku ukalime, au ulale nyumbani msaidiane kazi na mkeo siku hiyo, kama hujaoa saidia kazi za nyumbani kwenu. usiende kwa hao mafisiem
 
Na hako kadada ndio wamekapa cheo gani huko ugambani? Kwanini wasingemkumbuka hata bongomovie mmoja hivi kama Irene uwoya naona wana makada huko kwenye filamu.anyway wanajua wenyewe mipango yao sitaki kuwaingilia.
 
Ha ha haaaa....!!!!!!,
Nimekuelewa Mkuu,
But hawa Mabint bana aisee ni burudani za waheshimiwa fulani hivi, huyo Jokate usione tu kafika hapo kiubwete tu, kuna sponsors wanahusika halafu baade mambo yanakua ni murua kabisa
Wewe ndio umeongea point sasa. Wengi hawajui hii
 
Huyo jamaa alieweka mkono shavuni... ni nani? kakaa kama kakalia kitu kizito.....
whatsapp-image-2017-04-24-at-3-18-14-pm-1-jpeg.500485
Kidoti shati hilo kaachia vifungo kadhaa ama? Maana huyo alovaa njano kama anaibia kifuani kwa bidada kwa jicho la wizi
 
Back
Top Bottom