Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,255
- 10,248
Mkiongozwa na Shaka wa MombasaWababe Kiboko ya UKAWA
Mkiongozwa na Shaka wa MombasaWababe Kiboko ya UKAWA
HahahahahahaShaka hapigi show huyo.
Hata Mumeo hawezi kuku Support katika hiliJokate ni sawa na Tundu Lissu 20.
Hakuna kitu hapo, porojo tuUVCCM wameachiwa wapemba?
Hahahaha ulichokiandika na kilichoko moyoni mwako ni mbingu na ardhiJokate ni sawa na Tundu Lissu 20.
Hahahaha jamaa huyu jamii ya bashite hajitambui kabisahahaha wakati asubuhi ulikua unalia hapa kuwa Jokate aliwakimbia kwenye uchaguzi 2015 alafu leo kapewa cheo.
Halisomeki mkuu, ili uweze kulielewa lazima ufukirie tumbo kwanza wananchi baadaeMliosoma hilo shairi tuambieni wanasemaje hao vil.azer!
Shaka hapigi show huyo.