Taarifa ya uhamisho

Mmbena

Member
Feb 18, 2016
7
0
Mimi mwalimu wa sekondari katika wilaya ya KARATU MKOA WA ARUSHA natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka WILAYA MOROGORO MJN au WILAYA YA MOSHI (Kilimanjaro) kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane kwa
No: 0766 177377,
0757 092556,
0758 632247
 
Back
Top Bottom