Taarifa ya Tamko la CHADEMA Jana


maneno yanayotumika kuonesha huna uhakika na unachokisema ni nadhani , nahisi, labda,
kwa sentensi kama yako ulipaswa kusema kwa taarifa kutoka katika sehemu fulani, au mtu fulani .... "eti" is less formal na imekaa kama umbea fulani hivi.
no offence mkuu ni kujaribu kuelekezana tu
 
Jamani, msimlaumu sana, kikubwa mada aliyotoa ijadiliwe. Kama kikao kilikuwepo, na kama inadhaniwa bahasha za kaki zilitembea, mbona hata gazeti la Tanzania Daima hail kuandika?! Au nao wameshatiwa mfukoni na Nape?!
 
Mkuu Mizambwa, kwa mujibu wa sheria za jf, huruhusiwi kumfananisha member yoyoye na member mwingine yoyote hata kama wanashabihiana kwa kiasi gani!. Hili ni kosa linaitwa "name calling" na adhabu yake ni ban!.
Pasco.


Asante sana Mkuu Mnyamahodzo

huyu Pasco analeta ujanja kukataa hata KIVULI chake au PICHA yake mwenyewe. Umempa ufafanuzi mzuri sana. asitake kukataa hizi ID ni za mtu mmoja.

Amejifunga mwenyewe. Ujanja Kwishnei!!!!!!!!!!!!

Humu ndani Pasco ana ID nyingi sana kila mara anakja na majina tofauti.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Last edited by a moderator:
Pasco, usijitie kuwatisha watu kwa kujifanya unakimbilia sheria/kanuni za JF. Umejiumbua mwenyewe na Mizambwa yeye kapiga mistari kauli zako mbili-kwa ID tofauti zikirejea kitu kimoja. Wewe ndiye Nyamogota.

Pasco ndiye anapaswa kubigwa BAN milele, kwa kosa la kutumia ID mbili.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA
 
Last edited by a moderator:
cdm matamko kila kukicha na mwendelezo wake huwa haufahamiki kisayansi mtu akipata ulemavu akili yake inakuwa sio pure .mfano dk slaa
Kauli za kipumbavu kama hizi kutoka kwa mpumbavu kama wewe, ndio ziliwafanya Wapiga kura wa Lindi mjini wamchaguwe Mbunge Albino wa CUF na kumpiga chini wa CCM ili waone kama atashindwa kuwawakilisha bungeni.
 
Mkuu Mizambwa, kwa mujibu wa sheria za jf, huruhusiwi kumfananisha member yoyoye na member mwingine yoyote hata kama wanashabihiana kwa kiasi gani!. Hili ni kosa linaitwa "name calling" na adhabu yake ni ban!.
Pasco.
hahahahahaa usimtishie mwenzio bana wewe jibu hoja yake... maana ulijichanganya mwenyewe kwa kutetea hiyo ETI ukionesha kuwa wewe ndio mwanzilishi wa hii thread
 

Cha kushangaza hajui kujikausha...yaani unang'amua kuwa ni yeye kiulainiiiiii
 

Amri kuu ya mtu yeyote ambae ni muongo asiwe msahaulifu ama sivyo ataumbuka kama ilivyomtokea Pasco hapa!!!
 
Yaishe basi jamani.
Mtu mzima kateleza hapo! Kwani nyie hamjawahi kusikia msemo usemao Njia ya mwongo ni fupi?
Na huo ni mwanzo tu,yanafuata mengi zaidi.Just relax guys.
 

JF bana ni Full burudani,acha nitie neno hapo kwenye I'd ya pasco mwisho humalizia na jina lake Pasco na hyo ya (Nyamigota) mwisho nayo ina "P" hata mie Ngasitukaa
 
kwani mwanahalisi limefunguliwa?
 
Yaishe basi jamani.
Mtu mzima kateleza hapo! Kwani nyie hamjawahi kusikia msemo usemao Njia ya mwongo ni fupi?
Na huo ni mwanzo tu,yanafuata mengi zaidi.Just relax guys.

Nimefurahi zaidi baada ya kuona Pasco kakugongea "like".
Yameisha mkuu.
 
Tamko hata humu linaweza kuwekwa si lazima tv

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…