Taarifa ya Serikali - Kuzama kwa Meli Zanzibar

Taarifa ya Serikali - Kuzama kwa Meli Zanzibar

jee said salim bahresa anazihujumu hizi meli nyingine??? jamani watz tuliangalie kwa undani kabisa haya masuala.

ivi inawezekana kuhujumu meli ambayo haina hata OFISI? hii inachangiwa na UDHAIFU wa serikali ya CCM na CUF rushwa inalitafuna Taifa letu.
 
Breaking News ITV na FAROOK Kareem Anasema Maiti 25 zimeopolewa pia akiwemo Raia Mmoja wa Kigeni Asiyejulikana uraia wake hadi Sasa hivi...

Breaking News kwa Njia ya Simu sijui imekaaje hii ITV
 
This is really sad.. yaani inatia unyonge kutokana na vifo, inaonyesha wazi kuwa hapa ile ya Mv spice haikuwa fundisho, sijui hata hawa watu wa ukaguzi wanafanya nini... i hope watachukuliwa hatua...

hii pia inapunguza idadi ya watalii kwani inaleta hofu baina yao!!
 
Jamani Sio sahii kuhusisha maafa yanayotokea na siasa. Hakuna uhusiano kati ya kuzama kwa meli na ccm haya ni maafa tu kama ajali zinazotokea mara kwa mara. Inaonekana huyu jamaa amekariri na ana chuki binafsi na chama hki kwani upepo mkali ndo umesababisha meli izame na si vinginevyo.

sasa unataka yahusishwa na nani? CCM na CUF wanahusika maana ndio wanahatamu za serikali hizi mbili, nisadie haya maswali:
1. hivi inakuwaje hakuna hata orodha ya majina ya abiria waliopanda meli,
2. meli haina ofisi,
3.kwa nini kila abiria asiwe na life jacket japo kwa ajili ya kupunguza vifo,
4. hii meli imesajiliwa wapi? inasimamiwa na SUMATRA ya bara au SUMATRA ya Zanzibar
5.idadi ya abiria waliyopanda na mizigo na uwezo wa meli vilikuwaje
ukijibu haya basi nisaidie kujibu hii ni siasa au hali mbaya ya hewa
 
.???? Tujiulize sababu ya kuzama Meli ni nini? Nasikia upepo wa ajabu umetokea baharini, kwa Hilo sio uzembe au ubovu wa Meli Bali Ni mother nature
Uamsho?????? Makanisa????? ...... Jibu mnalo.
 
waziri amesahau kusema SERIKALI IMEJIPANGA AJALI KAMA HII ISITOKEE TENA!maana ndio msemo wao siku hizi.Innalillah

Mi nachoomba tu ajali hii isitupumbaze na kuacha kuifuatilia ile sinema ya Afande Sele na Kamanda Msangi ft Gwajima na yule kichaa anayedaiwa kwenda kupata kitubio.
 
Yaani wewe maskini wa Mungu humjui hata adui yako. Kama ccm ndo inatengeneza sera na kuzisimamia, kukitokea tatizo haihusiki? Mbombo ingalipo GUDIGUDI
 
Last edited by a moderator:
Jamani Sio sahii kuhusisha maafa yanayotokea na siasa. Hakuna uhusiano kati ya kuzama kwa meli na ccm haya ni maafa tu kama ajali zinazotokea mara kwa mara. Inaonekana huyu jamaa amekariri na ana chuki binafsi na chama hki kwani upepo mkali ndo umesababisha meli izame na si vinginevyo.

Naona wewe ni mmoja wa wamiliki wa Boti hilo mtumba. Kwanini imeruhusiwa kusafiri wakati hali ya hewa ilikua mbaya na ukizingatia hata jana wakati inakuja Dsm ilikua mshikemshike?!
 
Life jackets zilikuwemo kulingana na idadi ya abiria? Siasa ni kila kitu kama hujui kitu kaa kimya li chama lenu ndiyo chanzo cha maafa kila siku spice highlander nayo ni upepo au abiria walizidi?

Kama abiria walizidi nani alitakiwa kuwajibika kuzuia hilo kama siyo wanasiasa na vyombo vyao vya dola?

Mimi naomboleza Watanzania wenzangu wamekufa nitakacosema umekisababisaha mwenyewe na ushabiki wako mpaka kwenye uhai wa wenzako hivi angekuwemo mwanao na akawa ni mmoja wa waliopoteza maisha bado ungesema hilo dude lako unaliita Chama?

Huna akili wewe watu wanakufa wewe na chama kwenda zako huko na chama lako
 
Naona wewe ni mmoja wa wamiliki wa Boti hilo mtumba. Kwanini imeruhusiwa kusafiri wakati hali ya hewa ilikua mbaya na ukizingatia hata jana wakati inakuja Dsm ilikua mshikemshike?!

Ndugu jiheshimu pale inapotekea maafa makubwa kama haya BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE
 
MV LIEMBA....huko ziwa Tanganyika is The Oldest operating ship in the World (100 Years Old)....na serikali wanajivunia
hili....subiri siku izame watu watakuja hapa...Ohh meli ya zamani sana
 
MV LIEMBA....huko ziwa Tanganyika is The Oldest operating ship in the World (100 Years Old)....na serikali wanajivunia
hili....subiri siku izame watu watakuja hapa...Ohh meli ya zamani sana

Asante kwa angalizo ndugu katika BWANA aina ya vijana kama wewe ndio wanaotakiwa katika nchi hiii
 
wana JF hapa kuna uongo wa kitoto wameanza filamu nyingine ujue pana watu wengi wamekufa sio hao wanaotajwa abiria wengi hupenda kusimama ktk deck na maana wote hao wamekufa kama si wote vipi walokuwemo ktk vyumba wamepata wangapi ?
 
Rushwa iliyo kita mizizi itaendelea kutumaliza, MELI HAINA OFISI IDADI KAMILI YA ABIRIA IMEJULIKANAJE, ukija barabarani mabasi yanatoka ubungo mabovu yakiuwa tunaanza kelele.

WATANZANIA MDUDU ANAETUMALIZA NI SERIKALI ILIOKO MADARAKANI KWA KUWA IMEJAA RUSHWA.

Poleni wafiwa na majeruhi mungu awasaidie mpone haraka
 
Back
Top Bottom