swali maridhawa labda ni humu humu kwa MeloNdoa itakuwa wapi mwanza au ni ya humu humu jf?
tehe tehe tehe, mwidiweAhsante kwa tarifa ila ingekua bomba akaja kuthibitisha na yeye
Namsubiri mtani wangu ajitokezeNaamini kama yuko online atajitokeza tu! Siwatanii ..
swali maridhawa labda ni humu humu kwa Melo
Nithibitishie binamu Kama ni ukweli nianze kupitisha mchango kwa abhantu bhiwachutehe tehe tehe, mwidiwe
kwikwikwikwi
mchango nitumie tu mwenyewe, hahahahahahaahaha, JF raha kweliNithibitishie binamu Kama ni ukweli nianze kupitisha mchango kwa abhantu bhiwachu
Ni katika jiji la miamba, jiji la wala samaki, Mwanza city
View attachment 476338View attachment 476339
tehe tehe tehe tehe, mbavu zangu mieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeemmekutana humu humu humu jf au kama ni humu basi umeliwa jombaaa kaa la moto hilo