simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Wakenya wanasubiri kwa hamu mwongozo wa Kinara wa upinzani Baba Raila.
Muungano mkuu wa upinzani nchini kenya NASA umekataa kutambua uchaguzi ambao uhuru kenyatta alichaguliwa kuwa rais mteule. Kiongozi wa muungano huo Raila Odinga ameutaja uchaguzi huo kuwa fedheha na wenye kuligawanya taifa. Kiongozi huyo ambaye hakujibu maswali ya wanahabari amewataka wafuasi wake wajiandae kwa misururu ya maandamano pamoja na kuhujumu uchumi kwa kususia baadhi ya bidhaa za kampuni zinazohusiana na chama tawala cha jubilee. Hayo yanajiri huku viongozi mbali mbali wakitoa wito wa mazungumzo kati ya rais mteule uhuru Kenyatta na Odinga. Kwa mengi zaidi usikose kujiunga nasi katika matangazo yetu ya jioni.