Taarifa ya Msiba..

Pole sana mkuu, Mungu awape faraja ya moyo
 
Pole sana mkuu. Jipe moyo.
===========================

Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama vile kivuli, wala hakai kamwe. AYUBU 14: 1 - 2
Hakuna nafsi ambayo haitaonja mauti!
 
Pole sana Mkuu, Mungu awatangulie katika msiba huu mzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…