Pole sana mkuu. Jipe moyo.
===========================
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama vile kivuli, wala hakai kamwe. AYUBU 14: 1 - 2
Tulimpenda sana ila mungu kampenda zaidi....Roho yake ilale pema peponi..AMEN...Pole ndugu kwa kumpoteza baba ila farijika kwa kuwa mungu amempa tuzo mbinguni.