Taarifa ya mnada wa tatu wa kimataifa wa madini ya Tanzanite

Ikibuma hiyo Tar 18 kununulika nawashauri serikali iwachie mabroker wao wawauzie madini hayo....watayauza kama upepo

Ova
 
Kama naiona Tanzania kwenye kile kitabu cha MACHUNGA YA DHAHABU NA MIGODI ZA JOHARI

Namna nchi ya waafrika ilivyogeuka majivu baada ya kukatalia madini yaliyovumbuliwa na mzungu

Hizi indoctrination hazitatuacha salama

Anyway yaanze kuuzwa na super market na sisi tununue
 
Wakisusa Wachina watayanunua.... Wakizingua wangawiwe wananchi
 
Tunaposema hapa ni home of great thinkers tunaomba wasio na hata fununu ya kitu kinachoongelewa wajitahidi kuwa learners.

Kuna uharo unatiririshwa na baadhi ya wachangiaji, ifike mahali mods mkiona mtu ni mharaji hapa kwenye majukwaa mnampiga ban ya kuutembelea uzi husika, naona itapendeza.
 
Hizi akili za kifukara na kimasikini za Laana ndo zinairudisha nchi hii miaka ya 1947
Hujui kilichokua kinaendelea Tanzanite one tulia wewe....STAMICO ilikua imepewa share kiini macho tu ila waliokua wapgaji wanajulikana
 
Hujui kilichokua kinaendelea Tanzanite one tulia wewe....STAMICO ilikua imepewa share kiini macho tu ila waliokua wapgaji wanajulikana
STAMICO walipewa mgodi wa TULAWAKA wauendeshe vipi mbona wameshindwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…