Taarifa ya mnada wa tatu wa kimataifa wa madini ya Tanzanite

Walipewa mashimo si mgodi madini yalishaisha
Kama madini yaliisha mbona walilalamika kuwa gharama ya kuzalisha ounce ya dhahabu ilikua kubwa kwao kuliko bei ya soko? Nani kakwambia waluachiwa mashimo? Walikosa akili wakaenda endesha mashimo tupu?

Ndo tunarejea kule kule kwamba nyie ni mazalia ya Laana!! Zaidi ya kula kunya na kuzaliana hakuna mnaloweza
 
So ulitaka upgaji uendelee pale Tanzanite one sio.?pole si awamu hii kama ulikua mnufaika tumia vzuri ulizochuma nchi inaitaji wawekezaji halisi si wababaishaji pale kulkua ni wizi na ubabaishaji layman walikabdhiwa mgodi kama wamiliki halisi kumbe ni wamiliki fake bora hao owners halisi wangeweka ata watu wenye bussiness knowledge,au makaburu cz hakukuwa na tofauti yao na makaburu katika upgaji zaidi makaburu walkua wanalipa ata kodi kdogo na ajira kwa watanzania zlkua za uhakka

Pumbavu wewe Rudi kwenye hoja ya STAMICO na TULAWAKA nimekuponda nyundo ya hoja unaleta utumbo mwingine jibu hoja ilikuaje wakazalisha dhahabu kwa hela nyingi kuliko bei ya soko?

Halafu mbona huo mnada mnaurudia rudia bila faida?

Si mna mahela why msiende yanunua?? Mafukara wakubwa ninyi mnakazana kila siku mnaibiwa gharama ya kuichimba hiyo Tanzanite umewahi changia au kuijua tuu?

Mnada kila siku unaahirishwa kwanini hamuendi kununua?
 
Hapana mkuu nafikiri ni vizuri tukiyadhibiti madini yetu na tuwe na soko la madini hapa hapa nchini(Tanzania minerals trade centre)
Wanufaika wanasktika...no ujanja ujanja under JPM especially kwenye mining sector nitatofautiana na JPM sehemu nyingne ila si kwenye hii sector alivyoidhibiti ilikua kichaka cha wizi...walinuweka Muhongo mbele na Data hewa za kupika kumbe wanapga balaa nyuma ya pazia...nlkua naomba Mwenyenzi Mungu siku moja apatikane Rais wa kuthibiti wizi katika sekta ya madini na mikataba mibovu na hakika tumempata Congratulations Honourable John Pombe Joseph Magufuli
 
Fukara ni wewe mlizoea unakaa nyuma ya Keyboard unabweka unafkiri kila anayetetea rasilimali za nchi ni fukara..ma friend sitegemei kuiibia nchi yangu nakula Euro na nmewekeza kwa ajili ya shule si wizi na ujanja ujanja uhuni waliokua wanafanya kna Gonga pale Tanzanite one ndio Uwekezaji?wizi wa mchana nani asioujua?Hiyo Tulawaka na STAMICO si mlimtuma Sospeter Muhongo akadanganye Watanzania eti Tanzanite one inamilikishwa 49% na 51%mwekezaji wakati mgodi ulkua mikononi mwa wahuni STAMICO iliwekwa kama Geresha nieleze STAMICO pale AFGEM/Tanzanite one walishapewa gawio kias gan wakati kila sku kina Gonga walkua wanondoka na madini...Tulawaka wazungu wamemaliza madini ndio mkajfanya kurudsha serikalini wakati madini yameisha ili kuadaa watanzania muibe vizuri....serikali haikurupuki in data zote....kumbuka mgodi si shamba la bibi una life expectancy...(NCHI HII INA WANAOIPENDA NA WAHUJUMU ZAMA ZAO ZILISHAPITA)Time will tell mtaelewa tu huu moto si wa kifuu

Wataelewa kina nani we msaga vumbi? Nimekuuliza swali mbona hamuendi kununua? Huu ni mnada wa ngapi? Sasa si wazalendo kama wewe mkanunue kuliko kila siku yanakosa wateja na mnada kuahirishwa?

Mnanuka jasho la dhiki na kuchukia wenye nacho kwa kuwaita wapiga dili mwambie kipara akanunue sasa!!
 
Wanufaika wanasktika...no ujanja ujanja under JPM especially kwenye mining sector nitatofautiana na JPM sehemu nyingne ila si kwenye hii sector alivyoidhibiti ilikua kichaka cha wizi...walinuweka Muhongo mbele na Data hewa za kupika kumbe wanapga balaa nyuma ya pazia...nlkua naomba Mwenyenzi Mungu siku moja apatikane Rais wa kuthibiti wizi katika sekta ya madini na mikataba mibovu na hakika tumempata Congratulations Honourable John Pombe Joseph Magufuli
Ndugu ingekua vizuri utoke nyuma ya keyboard uwatafutie wateja nje ya wapiga deal wakanunue hayo mawe!! Acheni talalila kama za mabehewa ya treni.
 
Wataelewa kina nani we msaga vumbi? Nimekuuliza swali mbona hamuendi kununua? Huu ni mnada wa ngapi? Sasa si wazalendo kama wewe mkanunue kuliko kila siku yanakosa wateja na mnada kuahirishwa?

Mnanuka jasho la dhiki na kuchukia wenye nacho kwa kuwaita wapiga dili mwambie kipara akanunue sasa!!
Acha kubweka kijana naona ujui maana ya mnada hayo madini ata yakikosa wateja wa bei halisi yatawekwa kwenye stock BOT/Benki kuu yapandshe uchumi wa nchi kuliko yaende kwenye mikono ya majambazi na wajanja wajanja unaowashabikia...nyakati ni ukuta zile nyakati za kuwaibia watanzania na kubakiza kuwauza zmepita kubali uskubali jtaid kujijenga kisaikolojia tupo kwenye corruption free zone sasa katika sekta ya Madini
 
Acha kubweka kijana naona ujui maana ya mnada hayo madini ata yakikosa wateja wa bei halisi yatawekwa kwenye stock BOT/Benki kuu yapandshe uchumi wa nchi kuliko yaende kwenye mikono ya majambazi na wajanja wajanja kama weww
Ndo maana nakulinganisha na kima!! Watu wamewekeza then Leo utoe matamshi ya kutapisha simply eti yatawekwa BoT yapandishe uchumi kaah!! Really? Tangu lini Vito kama Tanzanite vinatumika kuthaminisha pesa au uchumi wa nchi? Hivi unajitambua kweli wewe? Hivi unajua unachojadili au miayo ya njaa inakusukuma uandike utumbo?

Hivi unajua kuna kipindi Tanzanite ilishuka thamani kabisa mpaka waziri wa madini alienda piga magoti huko nje? Why BoT haikuyachukua ili yakuze thamani ya nchi?

Why BoT haichukui mbaazi zilizofikia 150 kwa kilo kutoka 2000 ikakuza uchumi wa nchi?

Aisee hizi akili ndo za Tanzania ya viwanda?? Unatia kichefu chefu sana
 
Hahahhaha unaongea nini?stock ya madini haiapndshi uchumi ?basi umesomea uchumi kariakooo.... Kweli JPM amekaza nut kwa wapigaji...naona mpaka 2020 sijui hali itakuaje kama miaka 3 hali ni hii lakini kwa wezi awakazie tu watu wapate vipato halali...
 
Back
Top Bottom