Mracho Ngongoti
Senior Member
- Apr 11, 2012
- 133
- 85
Huyu jamaa mbona jioni nimemwona Ngarenaro R-Chuga anapiga gahawa na madingi wa Kirangi!
Mbona unaanza wewe kufanya kazi sasa!Unafundisha watu kazi?Km ni kwel hajulikan alipo, TISS wafanye kazi.yawezekana kuna mchezo unaandaliwa na Mataifa ya Magharibi.
Hujuma kuptia ziwa Nyasa inaandaliwa
Wapi nmefundsha watu kufnya kazi?Mbona unaanza wewe kufanya kazi sasa!Unafundisha watu kazi?
Umesema hujuma kupitia ziwa nyasa inaandaliwa.Ina maana umelijuaje hilo suala mkuu?Wapi nmefundsha watu kufnya kazi?
Kuwa kazin haimaanishi hupokei maoni/mapendekezo ya watu wasiohusika na io kazi.
nmetoa maoni yngu Kaka!!!
Hahahahaaa ntafanya sherehe kubwadunia ya kwanza raha sana mutharika bado anakula bata tu.
Lakini malaika mtukufu wa tanzania siku akijaribu kwenda apotee kabisa uko uko mawingu
Umesema hujuma kupitia ziwa nyasa inaandaliwa.Ina maana umelijuaje hilo suala mkuu?
Umelaaniwa wewe. Kwani Syria ni Africa?Afrika kila siku kuna kituko kipya; Tumelaaniwa?