Taarifa ya Kupotea kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika

Taarifa ya Kupotea kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika

Phd Hewa

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
572
Reaction score
466
d874a5afcefaa5938887aaba1af28d48.jpg




kituo kikubwa cha habari Kenya cha Citizen kimeripoti kupotea kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika ambae hajarudi nchini kwake tangu alivyoondoka kuelekea New York Marekani kwenye mkutani mkubwa wa Umoja wa Mataifa kwa mujibu wa rekodi imetajwa kuwa aliondoka nchini New york, September 15 2016 na mpaka sasahivi hajawasili nchini kwake Malawi.

Rais Mutharika amepotea kwa muda wa wiki 3 tangu sasa aondoke nchini kwake na imepelekea raia wa nchi hiyo kuweka hashtags kwenye mitandao ya kijamii zikisema [HASHTAG]#bringbackMutharika[/HASHTAG] haswa kwenye twitter kama unavyoona hapo chini.

6d60c7815becf0c2a7a158c7534eb8ae.jpg
 
Km ni kwel hajulikan alipo, TISS wafanye kazi.yawezekana kuna mchezo unaandaliwa na Mataifa ya Magharibi.
Hujuma kuptia ziwa Nyasa inaandaliwa
 
Rais kapotea au kajipoteza? Huwa wanaongozana na ujumbe wa watu kadhaa wakiwa wanaenda nje ya nchi, na wao pia wamepotea?
Ngachoka.
 
dunia ya kwanza raha sana mutharika bado anakula bata tu.
Lakini malaika mtukufu wa tanzania siku akijaribu kwenda apotee kabisa uko uko mawingu
Hatari aisee apotee kabisa mawinguni?
Hapana bana punguza ukakasi.
 
Atakuwa walipata ajali ya hiyo ndege yake.
RIP rais Mutharika.
 
Back
Top Bottom