Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
Mbavu zangu theeeete vp asira
Kila mwaka yaleyale harafu Magufuri anawaahidi huduma za bure wakati umeme wameshindwa na tunaulipia.
Mbavu zangu theeeete vp asira
Kila mwaka yaleyale harafu Magufuri anawaahidi huduma za bure wakati umeme wameshindwa na tunaulipia.
Kuuliza si ujinga mkuu
ndo hapo mtu unajiuliza,kwanini mkurugenzi wa tanesco bado yuko kazini........inakaa kama kuna element ndani ya serikali zinafanya sabotage...
Tuliaminishwa Gas imeshafika Dar kwenye mitambo ya Symbion,
leo tunaambiwa tatizo linatokana na upungufu katika uzalishaji wa umeme hasa katika vituo vya maji.
Tanesco na Serikali inataka kutwambia nini hapa?
nani kakudanganya kuwa gas ilifika dar
Hata hivyo baadhi ya maeneo yataendelea kukosa umeme kwa sababu ya upungufu katika uzalishaji wa umeme hasa katika vituo vya maji.
Umeme ni zaidi ya siasa watu wanazoleta. Ukawa wakiingia watanunua mitambo yote mipya?!! Ikumbukwe mitambo mingi ya tanesco ni ile ile ya zamani,mipya ni ya gesi na ni kiwango kidogo cha umeme unazalishwa na gesi sasa hivi.
Kukatika kwa umeme hata dakika moja hakutakiwi ila tuwe realistic kidogo,hamna miujiza its a slow process not matter who is in power.
Hiyo ni leo....
Lakini pia baada ya kushughulikiwa kwa hitilafu........umeme hakuna.......hata jana kabla ya hitilafu.....juzi.....juzi ile.......umeme haukuwepo pia............
Tuamie kwenye umeme wa radi. Mkuu wa Bodi ya Tanywesico apewe furusa kuonyesha utaalamu wake kati teknolojia ya umeme wa Radi. Tutaepuka haya majanga.
nani kakudanganya kuwa gas ilifika dar
nimewatukana hadi nimechoka... shirika la hitirafu tanzania, dawa yenu 25th oct
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWENYE GRIDI YA TAIFA OKTOBA 3, 2015
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wote walioungwa kwenye gridi ya taifa kuwa leo Oktoba 3, 2015 majira ya saa 11 kasoro alfajiri kulitokea hitilafu-kwenye njia kuu ya kusafirisha umeme kati ya Hale na Kiyungi na kusababisha mikoa yote iliyoungwa kwenye gridi kukosa umeme.-
Umeme-ulianza kurejeshwa-majira ya saa moja asubuhi baada ya kuondoa hitilafu hiyo.-
Hata hivyo baadhi ya maeneo yataendelea kukosa umeme kwa sababu ya upungufu katika uzalishaji wa umeme hasa katika vituo vya maji.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.-
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao