viatu virefu
Senior Member
- May 25, 2015
- 165
- 20
Vipi kuhusu ile gesi......?........nini kimetokea tena.......?....
ukitumia maji,gesi au nyuklia hitilafi ni hitilafu umeme utakatika tu.
Hiyo ni leo....
Lakini pia baada ya kushughulikiwa kwa hitilafu........umeme hakuna.......hata jana kabla ya hitilafu.....juzi.....juzi ile.......umeme haukuwepo pia............
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWENYE GRIDI YA TAIFA OKTOBA 3, 2015
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wote walioungwa kwenye gridi ya taifa kuwa leo Oktoba 3, 2015 majira ya saa 11 kasoro alfajiri kulitokea hitilafu-kwenye njia kuu ya kusafirisha umeme kati ya Hale na Kiyungi na kusababisha mikoa yote iliyoungwa kwenye gridi kukosa umeme.-
Umeme-ulianza kurejeshwa-majira ya saa moja asubuhi baada ya kuondoa hitilafu hiyo.-
Hata hivyo baadhi ya maeneo yataendelea kukosa umeme kwa sababu ya upungufu katika uzalishaji wa umeme hasa katika vituo vya maji.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.-
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao
hakuna kitu kinachoniuzi hapa duniani kama ccm na tanesco. Mungu awahukumu hukumu ya milele na tusije kuwasikia kabisa hapa duniani.
Hata hivyo baadhi ya maeneo yataendelea kukosa umeme kwa sababu ya upungufu katika uzalishaji wa umeme hasa katika vituo vya maji.
Umeme ni zaidi ya siasa watu wanazoleta. Ukawa wakiingia watanunua mitambo yote mipya?!! Ikumbukwe mitambo mingi ya tanesco ni ile ile ya zamani,mipya ni ya gesi na ni kiwango kidogo cha umeme unazalishwa na gesi sasa hivi.
Kukatika kwa umeme hata dakika moja hakutakiwi ila tuwe realistic kidogo,hamna miujiza its a slow process not matter who is in power.
Mkuu kuna kitu huenda kipo nje yako au kipo ndani yako, unakifahamu au haukifahamu namaanisha kama upo ndani ya tanesco au wizara utakua unakifahamu au kama haupo ndani yake huwezi kukijua lakini nina uwakika kuna tatizo ndani ya tanesco na serikali kupitia wizara husika. Kuna matamko yanatolewa alafu baada ya muda yanakuja kukinzana na uhalisia. Hapa kuna tatizo sehemu
tanesco mmeshindwa kazi, tunaenda kuwawajibisha serikali yenu na nyie pia kwa kuwa wabovu. mpaka leo mnategemea maji kuzalisha umeme na watu tunateseka sababu tunategemea umeme? mwezi huu tunawabadilishia chama.SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWENYE GRIDI YA TAIFA OKTOBA 3, 2015
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wote walioungwa kwenye gridi ya taifa kuwa leo Oktoba 3, 2015 majira ya saa 11 kasoro alfajiri kulitokea hitilafu-kwenye njia kuu ya kusafirisha umeme kati ya Hale na Kiyungi na kusababisha mikoa yote iliyoungwa kwenye gridi kukosa umeme.-
Umeme-ulianza kurejeshwa-majira ya saa moja asubuhi baada ya kuondoa hitilafu hiyo.-
Hata hivyo baadhi ya maeneo yataendelea kukosa umeme kwa sababu ya upungufu katika uzalishaji wa umeme hasa katika vituo vya maji.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.-
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao
Tuliaminishwa Gas imeshafika Dar kwenye mitambo ya Symbion,
leo tunaambiwa tatizo linatokana na upungufu katika uzalishaji wa umeme hasa katika vituo vya maji.
Tanesco na Serikali inataka kutwambia nini hapa?
hakuna kitu ccm inakitaka saahizi kama umeme kuwepo bila kusumbua...ccm waanaathirika na wala hawanufaiki na ukatitaji umeme huu.
kuna mtu mmoja tu anabenefit na ukatikaji umeme,lowasa,,,,
swali ni je kuna hujuma,,,,hili tatizo ni halisi ama limepangwa kimkakati?

Sawa. Nilitegemea comments nyingi sana kama hii,nashangaa mpaka sasa ni moja.
Lowassa anafaidika vipi na ukatikaji wa umeme?