fredy nyiti
Member
- Dec 28, 2015
- 31
- 55
Tangu 2015 sijawahi kuangalia taarifa ya habar tbc. leo nilikuwa nyumbani ikabidi niangalie.ni baada ya king'amuzi kuisha mchana.ni upuuzi mtupu.
imejaa siasa . mara mwenge.mara katibu wa ccm mara ujinga .
Habari za kimataifa zimekopiwa kama zilivyo toka Aljazeera hata maandishi ya aljazeera yanaonekana.yan na msomaji anasoma kama anaimba hakuna hata ku ongeza kidogo ili wasiofuatilia vituo vya nje.
Meneja wa tv jitafakari, weledi unaonesha ni wa chini sana hata kama mnatumikia siasa lakini mmepitiliza
Ulitaka watoe taarifa za kushusha bendera za chadema?, Ripoti ya CAG? au ripoti ya IMF?
nauliza na namuuliza rais hii tbc ni channel ya chama cha ccm au channel ya taifa? kama channel ya taifa kwanini wakati woote ni ccm tu na kwanini wakati mwingine isiwe inaonyesha vyama vingine kama hotuba zao na ziara zao na maendeleo yao
Mkuu mleta mada hayo yanayokusibu ya kuishiwa king'amuzi na mimi yananisibu.
TBC kwa kweli inaboa sana, siku nyingine wanaonyesha harusi za watu, watu wanatongozana mpaka wanafikia uamuzi wa kufunga ndoa hawatuhusishi lakini eti siku ya sherehe yao ndio tunahusishwa!!.
TBC inaboa, wanarudi vipindi vile vile vya mahojiano, yaani taabu kwa kwenda mbele.
Tangu 2015 sijawahi kuangalia taarifa ya habar tbc. leo nilikuwa nyumbani ikabidi niangalie.ni baada ya king'amuzi kuisha mchana.ni upuuzi mtupu.
imejaa siasa . mara mwenge.mara katibu wa ccm mara ujinga .
Habari za kimataifa zimekopiwa kama zilivyo toka Aljazeera hata maandishi ya aljazeera yanaonekana.yan na msomaji anasoma kama anaimba hakuna hata ku ongeza kidogo ili wasiofuatilia vituo vya nje.
Meneja wa tv jitafakari, weledi unaonesha ni wa chini sana hata kama mnatumikia siasa lakini mmepitiliza
Umepata wapi roho ngumu ya kutazama huo ugoro wa CCM??Tangu 2015 sijawahi kuangalia taarifa ya habar tbc. leo nilikuwa nyumbani ikabidi niangalie.ni baada ya king'amuzi kuisha mchana.ni upuuzi mtupu.
imejaa siasa . mara mwenge.mara katibu wa ccm mara ujinga .
Habari za kimataifa zimekopiwa kama zilivyo toka Aljazeera hata maandishi ya aljazeera yanaonekana.yan na msomaji anasoma kama anaimba hakuna hata ku ongeza kidogo ili wasiofuatilia vituo vya nje.
Meneja wa tv jitafakari, weledi unaonesha ni wa chini sana hata kama mnatumikia siasa lakini mmepitiliza
Mkuu mleta mada hayo yanayokusibu ya kuishiwa king'amuzi na mimi yananisibu.
TBC kwa kweli inaboa sana, siku nyingine wanaonyesha harusi za watu, watu wanatongozana mpaka wanafikia uamuzi wa kufunga ndoa hawatuhusishi lakini eti siku ya sherehe yao ndio tunahusishwa!!.
TBC inaboa, wanarudi vipindi vile vile vya mahojiano, yaani taabu kwa kwenda mbele.
Jamaa wanazingua, yule bosi mkurya hana ubunifu wa ziada. Ninapokuwa nimelipia kifurushi cha DSTV huwa sitazami TBC, nakuwa naangalia vipindi vya channels zenye akili na maarifa za wazungu.Mpaka nimemkumbuka Candid Scope, 'Mkweli kwa Nchi Yangu'.
Au ndio tunaanza kuwa transformed mkuu?
Umepata wapi roho ngumu ya kutazama huo ugoro wa CCM??
Kweli TBC ina tia kichefuchefu sanaInabidi mtu kujitoa mhanga na kuilipua kwa bomu ili kusevu kodi zetu, huo uwezo tu ndio sina!
BROTHER USIANGALIE TBC INAMALIZA HATA LUKU,JUZI MWENYEWE KULIKUWA NA UNITS 28 KWENYE LUKU TUMEANGALIA TAARIFA LAO LA HABARI TU KAMA NUSU SAA IMEKULA NUSU YA UNITS ZIKABAKIA 14,NADHANI YALE MATAARIFA YAO YA KUUNGA MKONO HOJA YANAKULA SANA UMEME HALAFU LINA PICHA MBAYA MBAYA UTADHANI WAMEREKODIA CAMERA ZA SIMU ZA TOCHITangu 2015 sijawahi kuangalia taarifa ya habar tbc. leo nilikuwa nyumbani ikabidi niangalie.ni baada ya king'amuzi kuisha mchana.ni upuuzi mtupu.
imejaa siasa . mara mwenge.mara katibu wa ccm mara ujinga .
Habari za kimataifa zimekopiwa kama zilivyo toka Aljazeera hata maandishi ya aljazeera yanaonekana.yan na msomaji anasoma kama anaimba hakuna hata ku ongeza kidogo ili wasiofuatilia vituo vya nje.
Meneja wa tv jitafakari, weledi unaonesha ni wa chini sana hata kama mnatumikia siasa lakini mmepitiliza
msitukashifu sisi watu wa vijijini tunaelewa kila kitu, kwanza hata hao wana ccm wenyewe siwaonagi kuangalia hyo t.v yao.Jilaumu mwenyewe kuangalia hiyo TV. Hiyo ni TV ya wazee, watu wasiojielewa na watu wa vijijini wasiojua lolote.