Taarifa ya CHADEMA Leo

Taarifa ya CHADEMA Leo

Kweli masangwenya yote ya chadema yana uelewa na ufahamu finyu na mdogo sana kuhusu maana na lengo la maridhiano ya kitaifa yanayoendelea vizuri sana, miongoni mwa waTanzania kupitia vyama vyote vya siasa nchini na yakiongozwa na rais Dr.Samia Suluhu Hassan.

Ni muhimu waTanzania wote kuwapuuza hawa masangwenya wa chadema ambao ndio walikua chimbuko hata la utapeli na mkwamo wa mchakato wa katiba mpya 2015, ambao ulilisababishia taifa hasara kubwa.

Tuungane sote kama taifa,
katika kuwapuuza masangwenya haya useless yanayotumiwa na kanisa kujaribu kuvuruga nchi, huku kwa umoja na mshikamano wetu, tukiendelea na maridhiano ya kitaifa yenye lengo la kujenga msingi imara zaidi, kuelekea kupata katiba mpya ya waTanzania wote kabla ya 2030 :NoGodNo: .
mapigwa mikia ya lumumba yanapokoment utaona yanawaza kupigwa mikia tu huku akili zimejaa mavi.
 
Mkuu Magesi , asante sana kwa taarifa hii,
  1. kitu cha kwanza nilicho note, Chadema haina kabisa watu wenye kuweza kufanya kitu kinachoitwa critical analysis, hivyo hawajaweza hata kusoma in between the lines hiyo Tume ya Maridhiano ni tume ya nini!. Kwenye hili na critical analysis tutawasaidia kupitia humu humu jf, wawe wanasoma zile PNA zangu humu jf, zitawasaidia.
  2. Kitu cha pili, Chadema haina kabisa watu wanaitwa ma strategists, yaani watu wa strategia, hivyo kuna fursa kibao za kutusua, zinawapita pembeni kwa kukosa watu wenye broad vision to see a big picture, hivyo kukosa a mission to accomplish. Kwenye hili, niliwahi kushauri, Chadema isaidiwe na wazalendo wa kweli wa taifa hili, na hata ikibidi kusaidiwa na wana CCM wa Nyerere, kama mimi, kuisaidia Chadema, kutoka kuwa chama cha kiharakati na kuwa chama tawala in waiting!. PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
  3. Kuna kitu mimi nakijua na Chadema wanakijua lakini hawajakisema kwenye taarifa hii. Chadema wamepokea mwaliko wa kuteau majina mawili kwenye Tume ya Maridhiano, kwa kuzingatia uwiano wa kijinsia, hili hawalisemi, kwa vile mimi nalijua, nimewashauri humu ushauri kuntu kabisa, Ushauri CHADEMA: Mchawi Mpe Mwanao Akulelee!, Barua Mliyopokea, Msisuse!, Jibuni!. Je, CHADEMA Wapeleke Jina la Tundu Lissu na Jingine au Wasuse ?
  4. Chadema wangekuwa na watu wa critical analysis wangebaini, kinachoitwa Tume ya Maridhiano ni jina tuu, kinachoundwa ni Tume ya Marekebisho ya Katiba hii ya CCM ya mwaka 1977, na sio tena katiba mpya!. Wao wamejikita kwenye maridhiano, kujadili yaliyopita ambayo sii ndwele, wenzao wanaganga yajayo, kurekebisha katiba na sio kuzungumzia tena issues za katiba mpya!. Chadema wangekuwa strategic, wangesema tunataka kwanza maridhiano, kisha twende kwenye katiba mpya, na sio kurekebisha katiba iliyopo Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.
  5. Huko nyuma nilishauri Chadema isaidiwe, kuna Watanzania wengi tuu ni wazalendo wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona CCM inashinda kwa haki, tunakuwa na Bunge lenye upinzani makini, ili kuifanya CCM isibweteke, bila upinzani imara, huwezi kupata CCM imara, hivyo natoa tena wito Chadema isaidiwe kwa kushauriwa to do the right thing and do it right. PreGE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!
Mzee Pasco.



P

Huo ushauri ungekipa chama chako muda mrefu kingekubali reforms tangu 2022 na nchi kupata katiba mpya wala hata tusingewahi kufikiri hayo ya October 29 yangetokea.

Ila hapa unaleta jangwa tu kujidai kushauri wakati mzizi wa tatizo ni chama chako kuogopa chaguzi huru ila unajidai kuwa mnafiki kwa kubaki "vuguvugu"


We can't buy this nonsense.
 
Mkuu Magesi , asante sana kwa taarifa hii,
  1. kitu cha kwanza nilicho note, Chadema haina kabisa watu wenye kuweza kufanya kitu kinachoitwa critical analysis, hivyo hawajaweza hata kusoma in between the lines hiyo Tume ya Maridhiano ni tume ya nini!. Kwenye hili na critical analysis tutawasaidia kupitia humu humu jf, wawe wanasoma zile PNA zangu humu jf, zitawasaidia.
  2. Kitu cha pili, Chadema haina kabisa watu wanaitwa ma strategists, yaani watu wa strategia, hivyo kuna fursa kibao za kutusua, zinawapita pembeni kwa kukosa watu wenye broad vision to see a big picture, hivyo kukosa a mission to accomplish. Kwenye hili, niliwahi kushauri, Chadema isaidiwe na wazalendo wa kweli wa taifa hili, na hata ikibidi kusaidiwa na wana CCM wa Nyerere, kama mimi, kuisaidia Chadema, kutoka kuwa chama cha kiharakati na kuwa chama tawala in waiting!. PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
  3. Kuna kitu mimi nakijua na Chadema wanakijua lakini hawajakisema kwenye taarifa hii. Chadema wamepokea mwaliko wa kuteau majina mawili kwenye Tume ya Maridhiano, kwa kuzingatia uwiano wa kijinsia, hili hawalisemi, kwa vile mimi nalijua, nimewashauri humu ushauri kuntu kabisa, Ushauri CHADEMA: Mchawi Mpe Mwanao Akulelee!, Barua Mliyopokea, Msisuse!, Jibuni!. Je, CHADEMA Wapeleke Jina la Tundu Lissu na Jingine au Wasuse ?
  4. Chadema wangekuwa na watu wa critical analysis wangebaini, kinachoitwa Tume ya Maridhiano ni jina tuu, kinachoundwa ni Tume ya Marekebisho ya Katiba hii ya CCM ya mwaka 1977, na sio tena katiba mpya!. Wao wamejikita kwenye maridhiano, kujadili yaliyopita ambayo sii ndwele, wenzao wanaganga yajayo, kurekebisha katiba na sio kuzungumzia tena issues za katiba mpya!. Chadema wangekuwa strategic, wangesema tunataka kwanza maridhiano, kisha twende kwenye katiba mpya, na sio kurekebisha katiba iliyopo Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.
  5. Huko nyuma nilishauri Chadema isaidiwe, kuna Watanzania wengi tuu ni wazalendo wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona CCM inashinda kwa haki, tunakuwa na Bunge lenye upinzani makini, ili kuifanya CCM isibweteke, bila upinzani imara, huwezi kupata CCM imara, hivyo natoa tena wito Chadema isaidiwe kwa kushauriwa to do the right thing and do it right. PreGE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!
Mzee Pasco.



P

1. Chadema had tried Reconciliation long time before with CCM and failed as CCM were not.ready for changes.

2. CCMs are the Victims and source of all evils happening in our country so they have no legitimate to lead the discussions.

3. Till now no third party has been declared by the authority to bring ccm and Chadema on the table for discussions.

4. As per your analysis Chadema mighty have no strategists while CCMs have all the strategists to deceive/kill Chadema once they overlook their conditions and come on the table.

5 Chadema have all rights to decline Reconciliation lead by CCM they have done it before they are aware . many issues has failed under CCM leadership new constitution back 2014,.INEC .we are sure even the recent move for Reconciliation and new constitution is a fake move.

6. CCM Is full of lies and greedy leaders who are obsessed of power and extremely corrupts. They can't bring anything good on the table for Tanzania ns.

7.The future of this nation firmly remains in the hands of Tanzanianias" PEOPLE'S POWER" not CCM, and the day they will decide changes will come
 
Pole chawa wewe, Awamu hii mmekutana na wasiofika bei wala madalali.
Mtahanya sanaaa, na badoo 😂😂😂😂
Masangwenya kama hao nani atababika nao kwa mfano ndugu mdau?
hata maana ya maridhiano tu hawajui :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom