Taarifa ya BAVICHA kuhusu Mikutano ya CCM Dodoma

Kwa kweli haipendezi kuona taifa hili likijengwa kwa kodi za wote lakini wanaofaidi ni kakundi kadogo ka viongozi ndani ya CCM na marafiki zao tu.

Sio sawa kuwakataza wapinzani wasihiloji wala kuwaambia watanzania juu ya matumizi na mwenendo wa kodi za watu mil. 6 waliowapigia kura. CCM ina haki ya kuwapa taarifa wapiga kura wao mil. 8 juu ya maendeleo yanayotokana na kodi zao halikadhalika wapinzani nao wanahaki ya kukosoa juu ya matumizi ya kodi zao

Pamoja na kwamba sera zinazotekelezwa ni za CCM lakini kodi hawatoi wao wenyewe na kwa uzoefu maCCM wengi ndio wakwepa kodi na wala kodi inayotoka kwa asilimia kubwa kutikana na kushika ajira zote nono serikalini.

Haki ni vizuri ikawa sawa kwa vyama vyote sio kwa CCM wenyewe.

Nadhani ingekuwa vyema jeshi la polisi likaachana na mambo ya wanasiasa wanaokosoana kwa hoja.Kwa sababu hapakua na haja ya kutafuta taarifa za kiintelijensia kwa ajili kujua kuwa kuna vyama vitakwenda Dodoma kuzuia mkutano wa CCM kwani CDM walitangaza hadharani bila kificho na mimi nikategemea kuwa mkutano huo utaahirishwa kutokana na taarifa hizo zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Nadala yake Polisi wameimarisha ulizi ,jambo ambalo ni sahihi na ndilo lilokuwa linatakiwa kufanyika hata kwenye mikutano ya uponzani.
Kinachotakiwa ni kuimarisha ulinzi na sio kupiga marufuku mikutano ya kisiasa.
 
Nyie nendeni tu Dodoma mbona matamko kila kukicha. Kaeni kimya tarehe 23 tokeeni dodoma
 
Dokta uchwara anaendesha nchi mchakamchaka bavicha tulieni serikali ifanye yake.Polisi wanapigania mshahara wao hayo mengine yakwenu intelijensia ni upigaji ramli
 
Double standard Mara time graduate Mara matamko
HIV haya matamko yasiyo na utekelezaji???
Mnakuwa mmelewa nini??
Mkuu maneno mengine ukiandika kwa kifupi halafu ukayaandika kwa herufi kubwa huleta maana tofauti...HIV ilinistua kidogo hapa kwenye huu uzi.
 
Freedom of speech, that is my opinion and I am entitled to it like you are entitled to yours.

Siwezi kukubaliana na kila unachoamimi kwa vile tu wewe unaamini hivyo. Si vizuri kufuata rai ya mtu kibubusa na sifuati rai kwenye hiyo taarifa kibubusa.

I am keeping in mind that even freedom has limits.
Haya ni matumizi mabaya ya "Freedom of speech" may be hii ya kwako ni freedom of opposing/objection, freedom of speech inaenda sambamba comprehension na critical analysing ya issues
 
Limit hiyo inaishia wapi? Kuna alive juu ya Katiba, ili yy tu aongee atakacho na wengine tukae kimya?

Mkuu wa dola ni mmoja nyie mmeshindwa kuweni wapole mpaka muda wenu ukifika, itakuwa hakuna haja ya kushindana sasa mshindi lazima mumuamkie shikamoo. Respect muhimu sana wanaume walikuwa wamewatamani sana mngetia maguu haki ya mungu mngefurahi na roho zenu kushuhudia harusi zenu wenyewe.
 
Double standard Mara time graduate Mara matamko
HIV haya matamko yasiyo na utekelezaji???
Mnakuwa mmelewa nini??
Kweli mkuuu kila siku matamko tuuu Jana muliona wanaume waturuki jeshi walitangaza kuchukuwa nchi hata hakujapambazuka raiya wamerudisha usalama ni vichekesho mwanajeshi anatolewa ndani ya kifaru na mkongoto juu wale ndio vidume mtabaki na matamko mpaka kiama
 
Chadema na BAVICHA kama hamna hoja kaeni kimya, kama mikutano imezuiwa hadi 2020 pale Karimjee wana CHASO mlifanya nini na Lowasa akiwa mgeni rasmi?
 
Ndugu waandishi wa habari kwanza tunawashukuru kwa kazi kubwa mliyoifanya kwa kuwaeleza Watanzania adhima yetu ya kwenda Dodoma, katika kuhakikisha BAVICHA tunaisimamia kauli Jeshi la Polisi na ya Mhe. Raisi, na kulisaidia jeshi la Polisi kuzuia mikutano ya kisiasa kwa vyama vyote hadi mwaka 2020 tukianza na mkutano haramu wa CCM hapo tarehe 23 July 2016.

Tunaendelea na msimamo wetu kuamini mkutano huo sio halali,kwakuwa ni Mkusanyiko wa Kisiasa ambao Mhe. Raisi na Jeshi la Polisi waliikataa vinginevyo watoke hadharani kukanusha Agizo na msimamo wao ulioathiri tayari vyama vya upinzani vikiwemo CHADEMA na ACT kwa kuzuiwa kukutana.

Sisi BAVICHA tunaheshimi kauli ya Kiongozi wetu mkuu wa chama,aliyotuomba tusiende Dodoma, kauli hii imeipa nafuu kubwa CCM kwakuwa hawakuwa na ubavu wa kutuzuia tusizuie mkutano wao.

Tulijipanga kila kona ya nchi hii,na hata jeshi la Polisi lisingeweza kutuzuia katika kutekeleza azima yetu,ya kutaka haki na usawa wa Kidemokrasia katika nchi hii ya Kidemokrasia.

Sasa basi,baada ya M/kiti kutuomba vijana wake tusiende Dodoma, sasa tunaamua kuja na plan B,ambapo hatutaenda Dodoma lakini hatutaruhusu mkutano wa CCM ufanyike mpaka pale Serikali itakapotoa kauli ya haki sawa za Kidemokrasia kwa kila chama,kufanya siasa maana hivi tunavyoongea CCM wao wanafanya mikutano ya hadahara na wengine wanazuiwa.

Tunayo taarifa ya Baadhi ya mawaziri na wabunge wa CCM wao wanafanya mikutano ya hadhara katika majimbo mbali mbali,na picha za matukio hayo tunazo kwa ushahidi hivyo tukashitaki wapi?

Tunazo taarifa za Wakuu wa wilaya wakifanya mikutano ya hadhara na wanachi,hivi kati ya mkuu wa wilaya na vyama vya siasa nani mwenye mamlaka ya kufanya siasa!??

Tunaomba Watanzania waone na wapaze sauiti jinsi nchi yao inavyoongozwa Kidikteta,na kukosa usawa.Leo Dodoma kumepelekwa Polisi kutoka katika mikoa ya Morogoro, Singida,Dar es salaam na Iringa wakiwa na kila aina ya Vifaa vya kivita.

Kwa Mara ya kwanza katika historia ya nchi hii Polisi wengi wasio na Idadi wakiwa na silaha nzito za kivita wanaenda kulinda mkutano wa Kisiasa,hii haijawahi kutokea.

Mtakumbuka Polisi wamewahi kuzuia mikutano mingi sana ya CHADEMA kwa kigezo kutokea machafuko na hali ya usalama ni ndogo,lakini hii imekuwa tofauti sana kwa upande wa Ccm wao usalama ni mdogo sana kupita maelezo katika mkutano wao wa tarehe 23 July,lakini vimepelekwa mpaka vifaru vya jeshi kuimarisha usalama.

Hii ni double standard ya hali ya juu,inayooneshwa na jeshi la Polisi kwa vyama vya siasa na huwa mara nyingine tunasema Polisi wanatumika na Ccm na huu ni ushahidi wa kwanza mkubwa kabisa.

Polisi wa nchi hii wako radhi wao wafe lakini Ccm isiguswe na wapo radhi hata kuua wapinzani ili Ccm iendelee kuwa madarakani,uko wapi usawa wa Kidemokrasia??? Uko wapi weledi wa kiutendaji wa jeshi letu la Polisi?.

UNYANYASAJI WA HAKI ZA BINADAMU.

Tokea BAVICHA tumatangaza kwenda Dodoma, majeshi yaliyopelekwa Dodoma kuisaidia Ccm yamekuwa yakifanya unyanyasaji mkubwa kwa raia,wamekuwa wakikamata wananchi hivyo na kuwaweka ndani bila kuwafungulia kesi,na jina la mtu aliyekamatwa tokea siku ya jumatano mpaka Leo hajafunguliwa kesi,wala kufikishwa Mahakamani na hata mawakili wanapoenda kujua hatima yake wanafukuzwa na Polisi.

Polisi wanaingia katika Nyumba vya kulala wageni usiku,kufanya ukaguzi,kinadada wanadhalilika kwakuwa wengine wanakutwa uchi wa mnyama na Polisi wa kiume,huu ni unyanyasaji mkubwa unaofanywa na jeshi la polisi Dodoma.

Sasa tunawaomba vijana wetu wote nchi nzima watulie na wasubirie maamuzi ya kikao kikubwa cha kamati ya Utendaji,kitakachokaa siku ya jumatano ya tarehe 20.07.2016 Kukutana na M/kiti wetu tukiwa tayari na Plan B ya kuipigania Demokrasia ya Taifa letu.

Imetolewa July 16

M/kiti BAVICHA Taifa
Waache usanii, hiyo tarehe 20.07.2016 watakutanaje kama kweli serikali imepiga marufuku mikutano yote ya kisiasa!Leo pia na baraza lao wamekutanaje!Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu!
 
Hicho kitambaa walichokitandika mezani mbona kimekunjamana?

Hlf naona vyombo vya habari vimewasusia jamani
 
Nyie vijana tatizo lenu ni elimu. Hamjui demokrasia ni nini na mfumo/ utekelezaji wake ukoje. Somo la uraia, general studies na development studies halitolewi ipasavyo mashu
Ndugu waandishi wa habari kwanza tunawashukuru kwa kazi kubwa mliyoifanya kwa kuwaeleza Watanzania adhima yetu ya kwenda Dodoma, katika kuhakikisha BAVICHA tunaisimamia kauli Jeshi la Polisi na ya Mhe. Raisi, na kulisaidia jeshi la Polisi kuzuia mikutano ya kisiasa kwa vyama vyote hadi mwaka 2020 tukianza na mkutano haramu wa CCM hapo tarehe 23 July 2016.

Tunaendelea na msimamo wetu kuamini mkutano huo sio halali,kwakuwa ni Mkusanyiko wa Kisiasa ambao Mhe. Raisi na Jeshi la Polisi waliikataa vinginevyo watoke hadharani kukanusha Agizo na msimamo wao ulioathiri tayari vyama vya upinzani vikiwemo CHADEMA na ACT kwa kuzuiwa kukutana.

Sisi BAVICHA tunaheshimi kauli ya Kiongozi wetu mkuu wa chama,aliyotuomba tusiende Dodoma, kauli hii imeipa nafuu kubwa CCM kwakuwa hawakuwa na ubavu wa kutuzuia tusizuie mkutano wao.

Tulijipanga kila kona ya nchi hii,na hata jeshi la Polisi lisingeweza kutuzuia katika kutekeleza azima yetu,ya kutaka haki na usawa wa Kidemokrasia katika nchi hii ya Kidemokrasia.

Sasa basi,baada ya M/kiti kutuomba vijana wake tusiende Dodoma, sasa tunaamua kuja na plan B,ambapo hatutaenda Dodoma lakini hatutaruhusu mkutano wa CCM ufanyike mpaka pale Serikali itakapotoa kauli ya haki sawa za Kidemokrasia kwa kila chama,kufanya siasa maana hivi tunavyoongea CCM wao wanafanya mikutano ya hadahara na wengine wanazuiwa.

Tunayo taarifa ya Baadhi ya mawaziri na wabunge wa CCM wao wanafanya mikutano ya hadhara katika majimbo mbali mbali,na picha za matukio hayo tunazo kwa ushahidi hivyo tukashitaki wapi?

Tunazo taarifa za Wakuu wa wilaya wakifanya mikutano ya hadhara na wanachi,hivi kati ya mkuu wa wilaya na vyama vya siasa nani mwenye mamlaka ya kufanya siasa!??

Tunaomba Watanzania waone na wapaze sauiti jinsi nchi yao inavyoongozwa Kidikteta,na kukosa usawa.Leo Dodoma kumepelekwa Polisi kutoka katika mikoa ya Morogoro, Singida,Dar es salaam na Iringa wakiwa na kila aina ya Vifaa vya kivita.

Kwa Mara ya kwanza katika historia ya nchi hii Polisi wengi wasio na Idadi wakiwa na silaha nzito za kivita wanaenda kulinda mkutano wa Kisiasa,hii haijawahi kutokea.

Mtakumbuka Polisi wamewahi kuzuia mikutano mingi sana ya CHADEMA kwa kigezo kutokea machafuko na hali ya usalama ni ndogo,lakini hii imekuwa tofauti sana kwa upande wa Ccm wao usalama ni mdogo sana kupita maelezo katika mkutano wao wa tarehe 23 July,lakini vimepelekwa mpaka vifaru vya jeshi kuimarisha usalama.

Hii ni double standard ya hali ya juu,inayooneshwa na jeshi la Polisi kwa vyama vya siasa na huwa mara nyingine tunasema Polisi wanatumika na Ccm na huu ni ushahidi wa kwanza mkubwa kabisa.

Polisi wa nchi hii wako radhi wao wafe lakini Ccm isiguswe na wapo radhi hata kuua wapinzani ili Ccm iendelee kuwa madarakani,uko wapi usawa wa Kidemokrasia??? Uko wapi weledi wa kiutendaji wa jeshi letu la Polisi?.

UNYANYASAJI WA HAKI ZA BINADAMU.

Tokea BAVICHA tumatangaza kwenda Dodoma, majeshi yaliyopelekwa Dodoma kuisaidia Ccm yamekuwa yakifanya unyanyasaji mkubwa kwa raia,wamekuwa wakikamata wananchi hivyo na kuwaweka ndani bila kuwafungulia kesi,na jina la mtu aliyekamatwa tokea siku ya jumatano mpaka Leo hajafunguliwa kesi,wala kufikishwa Mahakamani na hata mawakili wanapoenda kujua hatima yake wanafukuzwa na Polisi.

Polisi wanaingia katika Nyumba vya kulala wageni usiku,kufanya ukaguzi,kinadada wanadhalilika kwakuwa wengine wanakutwa uchi wa mnyama na Polisi wa kiume,huu ni unyanyasaji mkubwa unaofanywa na jeshi la polisi Dodoma.

Sasa tunawaomba vijana wetu wote nchi nzima watulie na wasubirie maamuzi ya kikao kikubwa cha kamati ya Utendaji,kitakachokaa siku ya jumatano ya tarehe 20.07.2016 Kukutana na M/kiti wetu tukiwa tayari na Plan B ya kuipigania Demokrasia ya Taifa letu.

Imetolewa July 16

M/kiti BAVICHA Taifa
1. Tatizo ni mfumo wetu wa

1. Tatizo ni mfumo wetu wa sasa wa elimu. Masomo ya uraia, civics, general studies and development studies hayafundishwi ipasavyo kwa vijana wetu wetu mashuleni hadi vyuo vikuu kama ilivyokuwa mwanzo. Matokeo yake ndiyo haya ya kuwa na kizazi cha misimamo ya namna hii.

2. Vijana hawa hajui kuwa katika mfumo wa demokrasia usawa wa vyama unatolewa tu wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ambao lengo lake ni chama kitakachoshinda kitachukua dola. Na kwamba dola ni pamoja na majeshi yote ya nchi.

2. Vijana hawa hawajui kuwa sasa hivi CCM ndiyo inayomiliki dola, ikiwamo hao polisi, kwani ndiyo iliyoshinda uchaguzi mkuu. Sasa hiyo double standard unaitoa wapi. CCM ndiyo inayo ruhusiwa kutekeleza ilani yake ikiwa na kufanya mikutano yake ya hadhara. Vyama vingine vitapatiwa fursa hiyo 2020. Kipi ambacho hawa vijana wanashindwa kuelewa? Mbona mzee wao Lowasa anaelewa na amewaelekeza vizuri tu mambo ambayo yanatakiwa kufanywa na vyama vya upinzani katika kipindi hiki. Uanaharakati hausaidii chama sana sana utakigharimu.
 
Kama mikutano yenu imekatazwa hiyo jumatano ya tarehe 20 July 2016 tuite mkutano au nini?
Yetu mimi na nani? We unachanganyikiwa au unachanganywa?

Bila shaka hapo kwenye bandiko wenyewe wameeleza kuwa watakuwa na KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI.

una swali lingine?
 
Nendeni basi Dodoma. Maneno mengi vitendo sifuri
Tulia moto wewe
1. Walimu wakwee mchuma bure....0
2. Sugwede bwerere mtonyo 1800....0
3. Wajukuu wa Matonya watarejea kijijini...0
4. Watu kama wewe marufuku Dar....0
5. Kuanzia leo marufuku kubanduana bila pingu za maisha...0
Haya ndio maneno mengi. Ulioandika wewe ni machache
 
Bavicha wanaakili za kufikirika maana wamezunguka mwisho wa siku wamepoteza muelekeo.....
 
Bavicha bhana!!! Wanakaa kimyaaaa siku wakiibuka utasikia operation, maandamano oh kupambana Na polisi. I wish ningepata fursa ya kutafiti IQ ya vijana 5000 waliosemekana kuwa tayari kwenda Dodoma .
Uvccm imewashinda kwajili ya vibahasha
 
Tamko la konyagi mmelisikia viroba vitaadimika nngeanza kuagiza nje
 
Freedom of speech eeh! Yes you are entitled to FS, but at the same time you don't want CHADEMA/CUF to enjoy their freedom of speech as opposition parties. It is high time for you to start defending opposition parties' freedom of speech.

Back
Top Bottom