Taarifa ya BAVICHA kuhusu Mikutano ya CCM Dodoma

Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
13,520
Likes
27,451
Points
280
Age
48
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
13,520 27,451 280
Ndugu waandishi wa habari kwanza tunawashukuru kwa kazi kubwa mliyoifanya kwa kuwaeleza Watanzania adhima yetu ya kwenda Dodoma, katika kuhakikisha BAVICHA tunaisimamia kauli Jeshi la Polisi na ya Mhe. Raisi, na kulisaidia jeshi la Polisi kuzuia mikutano ya kisiasa kwa vyama vyote hadi mwaka 2020 tukianza na mkutano haramu wa CCM hapo tarehe 23 July 2016.

Tunaendelea na msimamo wetu kuamini mkutano huo sio halali,kwakuwa ni Mkusanyiko wa Kisiasa ambao Mhe. Raisi na Jeshi la Polisi waliikataa vinginevyo watoke hadharani kukanusha Agizo na msimamo wao ulioathiri tayari vyama vya upinzani vikiwemo CHADEMA na ACT kwa kuzuiwa kukutana.

Sisi BAVICHA tunaheshimi kauli ya Kiongozi wetu mkuu wa chama,aliyotuomba tusiende Dodoma, kauli hii imeipa nafuu kubwa CCM kwakuwa hawakuwa na ubavu wa kutuzuia tusizuie mkutano wao.

Tulijipanga kila kona ya nchi hii,na hata jeshi la Polisi lisingeweza kutuzuia katika kutekeleza azima yetu,ya kutaka haki na usawa wa Kidemokrasia katika nchi hii ya Kidemokrasia.

Sasa basi,baada ya M/kiti kutuomba vijana wake tusiende Dodoma, sasa tunaamua kuja na plan B,ambapo hatutaenda Dodoma lakini hatutaruhusu mkutano wa CCM ufanyike mpaka pale Serikali itakapotoa kauli ya haki sawa za Kidemokrasia kwa kila chama,kufanya siasa maana hivi tunavyoongea CCM wao wanafanya mikutano ya hadahara na wengine wanazuiwa.

Tunayo taarifa ya Baadhi ya mawaziri na wabunge wa CCM wao wanafanya mikutano ya hadhara katika majimbo mbali mbali,na picha za matukio hayo tunazo kwa ushahidi hivyo tukashitaki wapi?

Tunazo taarifa za Wakuu wa wilaya wakifanya mikutano ya hadhara na wanachi,hivi kati ya mkuu wa wilaya na vyama vya siasa nani mwenye mamlaka ya kufanya siasa!??

Tunaomba Watanzania waone na wapaze sauiti jinsi nchi yao inavyoongozwa Kidikteta,na kukosa usawa.Leo Dodoma kumepelekwa Polisi kutoka katika mikoa ya Morogoro, Singida,Dar es salaam na Iringa wakiwa na kila aina ya Vifaa vya kivita.

Kwa Mara ya kwanza katika historia ya nchi hii Polisi wengi wasio na Idadi wakiwa na silaha nzito za kivita wanaenda kulinda mkutano wa Kisiasa,hii haijawahi kutokea.

Mtakumbuka Polisi wamewahi kuzuia mikutano mingi sana ya CHADEMA kwa kigezo kutokea machafuko na hali ya usalama ni ndogo,lakini hii imekuwa tofauti sana kwa upande wa Ccm wao usalama ni mdogo sana kupita maelezo katika mkutano wao wa tarehe 23 July,lakini vimepelekwa mpaka vifaru vya jeshi kuimarisha usalama.

Hii ni double standard ya hali ya juu,inayooneshwa na jeshi la Polisi kwa vyama vya siasa na huwa mara nyingine tunasema Polisi wanatumika na Ccm na huu ni ushahidi wa kwanza mkubwa kabisa.

Polisi wa nchi hii wako radhi wao wafe lakini Ccm isiguswe na wapo radhi hata kuua wapinzani ili Ccm iendelee kuwa madarakani,uko wapi usawa wa Kidemokrasia??? Uko wapi weledi wa kiutendaji wa jeshi letu la Polisi?.

UNYANYASAJI WA HAKI ZA BINADAMU.

Tokea BAVICHA tumatangaza kwenda Dodoma, majeshi yaliyopelekwa Dodoma kuisaidia Ccm yamekuwa yakifanya unyanyasaji mkubwa kwa raia,wamekuwa wakikamata wananchi hivyo na kuwaweka ndani bila kuwafungulia kesi,na jina la mtu aliyekamatwa tokea siku ya jumatano mpaka Leo hajafunguliwa kesi,wala kufikishwa Mahakamani na hata mawakili wanapoenda kujua hatima yake wanafukuzwa na Polisi.

Polisi wanaingia katika Nyumba vya kulala wageni usiku,kufanya ukaguzi,kinadada wanadhalilika kwakuwa wengine wanakutwa uchi wa mnyama na Polisi wa kiume,huu ni unyanyasaji mkubwa unaofanywa na jeshi la polisi Dodoma.

Sasa tunawaomba vijana wetu wote nchi nzima watulie na wasubirie maamuzi ya kikao kikubwa cha kamati ya Utendaji,kitakachokaa siku ya jumatano ya tarehe 20.07.2016 Kukutana na M/kiti wetu tukiwa tayari na Plan B ya kuipigania Demokrasia ya Taifa letu.

Imetolewa July 16

M/kiti BAVICHA Taifa
 
Attachments:

Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,181
Likes
9,922
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,181 9,922 280
Bavicha mmekua kama mtoto wa kambo, kila siku mnaonewa nyie. Hamjiulizi labda kuna kitu mnafanya sivyo kinachosababisha hiyo hali.
Unanitafutia BAN.

Hoja za msingi zimewekwa hapo, jinsi ambavyo chama A kinapata haki ile ile ambayo chama B kinanyimwa. hayo yoooote hukuyaona, umekuja kucomment utumbo. Kwa kifupi unawadhalilisha wanawake wa nchi hii, unajenga taswira mbaya.
 
Freema Agyeman

Freema Agyeman

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Messages
3,473
Likes
1,741
Points
280
Freema Agyeman

Freema Agyeman

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2011
3,473 1,741 280
Unanitafutia BAN.

Hoja za msingi zimewekwa hapo, jinsi ambavyo chama A kinapata haki ile ile ambayo chama B kinanyimwa. hayo yoooote hukuyaona, umekuja kucomment utumbo. Kwa kifupi unawadhalilisha wanawake wa nchi hii, unajenga taswira mbaya.
Freedom of speech, that is my opinion and I am entitled to it like you are entitled to yours.

Siwezi kukubaliana na kila unachoamimi kwa vile tu wewe unaamini hivyo. Si vizuri kufuata rai ya mtu kibubusa na sifuati rai kwenye hiyo taarifa kibubusa.

I am keeping in mind that even freedom has limits.
 
B

Babeli

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Messages
4,325
Likes
1,507
Points
280
B

Babeli

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2015
4,325 1,507 280
Ndugu waandishi wa habari kwanza tunawashukuru kwa kazi kubwa mliyoifanya kwa kuwaeleza Watanzania adhima yetu ya kwenda Dodoma, katika kuhakikisha BAVICHA tunaisimamia kauli Jeshi la Polisi na ya Mhe. Raisi, na kulisaidia jeshi la Polisi kuzuia mikutano ya kisiasa kwa vyama vyote hadi mwaka 2020 tukianza na mkutano haramu wa CCM hapo tarehe 23 July 2016.

Tunaendelea na msimamo wetu kuamini mkutano huo sio halali,kwakuwa ni Mkusanyiko wa Kisiasa ambao Mhe. Raisi na Jeshi la Polisi waliikataa vinginevyo watoke hadharani kukanusha Agizo na msimamo wao ulioathiri tayari vyama vya upinzani vikiwemo CHADEMA na ACT kwa kuzuiwa kukutana.

Sisi BAVICHA tunaheshimi kauli ya Kiongozi wetu mkuu wa chama,aliyotuomba tusiende Dodoma, kauli hii imeipa nafuu kubwa CCM kwakuwa hawakuwa na ubavu wa kutuzuia tusizuie mkutano wao.

Tulijipanga kila kona ya nchi hii,na hata jeshi la Polisi lisingeweza kutuzuia katika kutekeleza azima yetu,ya kutaka haki na usawa wa Kidemokrasia katika nchi hii ya Kidemokrasia.

Sasa basi,baada ya M/kiti kutuomba vijana wake tusiende Dodoma, sasa tunaamua kuja na plan B,ambapo hatutaenda Dodoma lakini hatutaruhusu mkutano wa CCM ufanyike mpaka pale Serikali itakapotoa kauli ya haki sawa za Kidemokrasia kwa kila chama,kufanya siasa maana hivi tunavyoongea CCM wao wanafanya mikutano ya hadahara na wengine wanazuiwa.

Tunayo taarifa ya Baadhi ya mawaziri na wabunge wa CCM wao wanafanya mikutano ya hadhara katika majimbo mbali mbali,na picha za matukio hayo tunazo kwa ushahidi hivyo tukashitaki wapi?

Tunazo taarifa za Wakuu wa wilaya wakifanya mikutano ya hadhara na wanachi,hivi kati ya mkuu wa wilaya na vyama vya siasa nani mwenye mamlaka ya kufanya siasa!??

Tunaomba Watanzania waone na wapaze sauiti jinsi nchi yao inavyoongozwa Kidikteta,na kukosa usawa.Leo Dodoma kumepelekwa Polisi kutoka katika mikoa ya Morogoro, Singida,Dar es salaam na Iringa wakiwa na kila aina ya Vifaa vya kivita.

Kwa Mara ya kwanza katika historia ya nchi hii Polisi wengi wasio na Idadi wakiwa na silaha nzito za kivita wanaenda kulinda mkutano wa Kisiasa,hii haijawahi kutokea.

Mtakumbuka Polisi wamewahi kuzuia mikutano mingi sana ya CHADEMA kwa kigezo kutokea machafuko na hali ya usalama ni ndogo,lakini hii imekuwa tofauti sana kwa upande wa Ccm wao usalama ni mdogo sana kupita maelezo katika mkutano wao wa tarehe 23 July,lakini vimepelekwa mpaka vifaru vya jeshi kuimarisha usalama.

Hii ni double standard ya hali ya juu,inayooneshwa na jeshi la Polisi kwa vyama vya siasa na huwa mara nyingine tunasema Polisi wanatumika na Ccm na huu ni ushahidi wa kwanza mkubwa kabisa.

Polisi wa nchi hii wako radhi wao wafe lakini Ccm isiguswe na wapo radhi hata kuua wapinzani ili Ccm iendelee kuwa madarakani,uko wapi usawa wa Kidemokrasia??? Uko wapi weledi wa kiutendaji wa jeshi letu la Polisi?.

UNYANYASAJI WA HAKI ZA BINADAMU.

Tokea BAVICHA tumatangaza kwenda Dodoma, majeshi yaliyopelekwa Dodoma kuisaidia Ccm yamekuwa yakifanya unyanyasaji mkubwa kwa raia,wamekuwa wakikamata wananchi hivyo na kuwaweka ndani bila kuwafungulia kesi,na jina la mtu aliyekamatwa tokea siku ya jumatano mpaka Leo hajafunguliwa kesi,wala kufikishwa Mahakamani na hata mawakili wanapoenda kujua hatima yake wanafukuzwa na Polisi.

Polisi wanaingia katika Nyumba vya kulala wageni usiku,kufanya ukaguzi,kinadada wanadhalilika kwakuwa wengine wanakutwa uchi wa mnyama na Polisi wa kiume,huu ni unyanyasaji mkubwa unaofanywa na jeshi la polisi Dodoma.

Sasa tunawaomba vijana wetu wote nchi nzima watulie na wasubirie maamuzi ya kikao kikubwa cha kamati ya Utendaji,kitakachokaa siku ya jumatano ya tarehe 20.07.2016 Kukutana na M/kiti wetu tukiwa tayari na Plan B ya kuipigania Demokrasia ya Taifa letu.

Imetolewa July 16

M/kiti BAVICHA Taifa
tamko feki. kiongozi mkuu wa chama na msaidizi wake wameshapiga marufuku uanaharakati. chama kime graduate tayari. nashangaa mnataka kutupotezea muda bure. nashauri muende kufuata ushauri na maagizo kutoka kwa Lowasa kwanza kabla hamjaja kwenye mitandao kuropoka ropoka. kuweni na adabu nyie watoto
 
technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
7,268
Likes
17,790
Points
280
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
7,268 17,790 280
tamko feki. kiongozi mkuu wa chama na msaidizi wake wameshapiga marufuku uanaharakati. chama kime graduate tayari. nashangaa mnataka kutupotezea muda bure. nashauri muende kufuata ushauri na maagizo kutoka kwa Lowasa kwanza kabla hamjaja kwenye mitandao kuropoka ropoka. kuweni na adabu nyie watoto
Kweli nifake
 
K

kiloriti

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Messages
464
Likes
1,036
Points
180
K

kiloriti

JF-Expert Member
Joined May 12, 2016
464 1,036 180
tamko feki. kiongozi mkuu wa chama na msaidizi wake wameshapiga marufuku uanaharakati. chama kime graduate tayari. nashangaa mnataka kutupotezea muda bure. nashauri muende kufuata ushauri na maagizo kutoka kwa Lowasa kwanza kabla hamjaja kwenye mitandao kuropoka ropoka. kuweni na adabu nyie watoto
naona umeandika utumbo.
 
B

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Messages
1,057
Likes
1,397
Points
280
Age
4
B

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2016
1,057 1,397 280
Kweli Lowasa ana nguvu aiseee! Naanza kumuogopa! Sijui nihamie chama gani?
 
mkolosai

mkolosai

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
1,432
Likes
919
Points
280
mkolosai

mkolosai

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
1,432 919 280
hivo vifaru vimewekwa wapi maana nipo dodoma sijaviona. ama kweli siasa ni upuuzi mkubwa. yaani waandishi nao wamekosa kazi kusikiliza upuuzi huo. kweli siasa ni sawa na maji ya mferejini. duh mchana kweupe unadanganya na unajiita m/ kiti taifa looh
 
K

kepler telescope

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
903
Likes
545
Points
180
K

kepler telescope

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
903 545 180
Imeishasemekana cdm sio wanaharakati tena ni chama cha siasa, ni ccm B. Nyie Ba-vichaa hamjaelewa bado? Mentor wa chama ni EL aliyelelewa na kukuzwa ccm. Mbowe kamwelewa, ninyi hamtaki kumwelewa, mnajifanya ba-vichaa. Kwa tabia hii ya ukambale naiona cdm ikipasuka vipande vipande.
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,204
Likes
47,985
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,204 47,985 280
Naona mnapingana na Policcm.
 
Z

Zamazangu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Messages
629
Likes
225
Points
60
Z

Zamazangu

JF-Expert Member
Joined May 16, 2015
629 225 60
Freedom of speech, that is my opinion and I am entitled to it like you are entitled to yours.

Siwezi kukubaliana na kila unachoamimi kwa vile tu wewe unaamini hivyo. Si vizuri kufuata rai ya mtu kibubusa na sifuati rai kwenye hiyo taarifa kibubusa.

I am keeping in mind that even freedom has limits.
Limit hiyo inaishia wapi? Kuna alive juu ya Katiba, ili yy tu aongee atakacho na wengine tukae kimya?
 
mtz daima

mtz daima

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Messages
1,576
Likes
348
Points
180
mtz daima

mtz daima

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2015
1,576 348 180
Bavicha bhana!!! Wanakaa kimyaaaa siku wakiibuka utasikia operation, maandamano oh kupambana Na polisi. I wish ningepata fursa ya kutafiti IQ ya vijana 5000 waliosemekana kuwa tayari kwenda Dodoma .
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,181
Likes
9,922
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,181 9,922 280
Freedom of speech, that is my opinion and I am entitled to it like you are entitled to yours.

Siwezi kukubaliana na kila unachoamimi kwa vile tu wewe unaamini hivyo. Si vizuri kufuata rai ya mtu kibubusa na sifuati rai kwenye hiyo taarifa kibubusa.

I am keeping in mind that even freedom has limits.
Upumbavu ni upumbavu tu...usemwe hata kwa Kigiriki...lugha ya Aristotle na Plato.

Ulikuwa wa kwanza kuwashutumu UKAWA kuwa walalamishi kama watoto wa kambo, hapa povu linakutoka kwa kuwa nimekukosoa. Huu mchezo mamaangu, hauhitaji hasira...ungeyasemea nyumbani kwako chumbani yasingekosolewa na mtu.

That is my opinion...ulichoandika ni pumba. Kama unafikiri nimeandika pumba, feel free to say so. Karibu sana!
 
Forum statistics

Threads 1,237,668
Members 475,675
Posts 29,296,769