Taarifa:Swala la utozaji wa VAT kwenye miamala ya ATM na mitandao ya simu kujadiliwa ITV kesho

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,705
149,939
Itakuwa ni kesho katika kipindi cha Kipima Joto kuanzia saa 3 usiku.

Mada inahusu usahihi wa utozaji wa kodi hii.

Natumai wataalika studio watalamu wa mambo ya kodi pamoja na wadau wengine(kutoka kwenye mabenki, n.k) ili watufafanulie swala hili.

ITV mmefanya vizuri sana kuleta hii mada hapo kesho.
 
Back
Top Bottom