masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
Halo tuta ku-RIP kabla hujafa.hivi mnavyoandika R.I.P Kamazima huko alipo anawasoma au ni ushambenga wa kiswahili wa kuiga kila kitu? acheni mbwembwe ndugu , kifo ndio mwisho wa safari ya mapambano ya hapa duniani, kilichobaki ni muhusika kupeleka hesabu zake kwa muumba , hizo R.I.P zenu hazisaidii kitu na wala muhusika hazisomi
Na siku ukifa bado utapata RIP zaidi!