IamPrince George
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 412
- 168
- Thread starter
- #41
Na huyo atakayemtoa babu Seya naye anajua nini kichwani mwake juu ya sheria?
Tatizo la kuishi kwa kukariri ndilo hilo, Lowassa alisema kuwa ataachia mamlaka za sheria kushughulikia swala hilo, Lowassa sio mzee wa Saddam
#MabadilikiNiLazima2015