Unakifahamu unachokiongea ndugu? Au unataka kumharibia Mheshimiwa Mkundi?Umeitaja Ukerewe na wakati huu niko huku. Hapa Ukerewe siyo siri. Mambo yako wazi kabisa. Kilichofanyika na kinachoeleweka kwa watu wa hapa ni kwamba. Mbunge aliyehamia CCM hakubaliki. Kura za maoni amepita na haijulikani jina litarudi au hapana. Lakini kupita kwake ni rushwa kwa kusaidiwa na viongopzi wa CCM wa Wilaya; Mkiti, Katibu, PCCB na usalama wa Wilaya, wote walipigwa milioni 5 kila mtu.
Siku ya uchaguzi kila mjumbe akarushiwa 70 kwenye simu yake. Niambie mtu wa aina hiyo au mfumo wa aina hiyo utatuletea nini. Yaonekana ni nchi nzima ndo mfumo uliotumika.
Hii ndo lugha ya wote walioshinda.. kwamba watu wanataka kuwaharibia.Unakifahamu unachokiongea ndugu? Au unataka kumharibia Mheshimiwa Mkundi?
Eti kumuharibia! Kama mtu kaharibika, utamuharibia nini? Ndo nani huyo uliyemtaja? Mkiti, katibu au mgombea?Unakifahamu unachokiongea ndugu? Au unataka kumharibia Mheshimiwa Mkundi?
Nilikuwa nimetembelea mkoa wa Kilimanjaro tarehe 1 hadi 5 Juni. Rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea huko. Mmoja kati ya hao watia nia alipita kila tarafa kuonana na wajumbe wa tarafa na alimwaga milioni 25 kwa wajumbe kila tarafa wagawane.Lila na Fila Havitengamani
Sasa mtu anatoa rushwa hivyo, akipata ubunge hizo hela zake atazirudisha vipi?Umeitaja Ukerewe na wakati huu niko huku. Hapa Ukerewe siyo siri. Mambo yako wazi kabisa. Kilichofanyika na kinachoeleweka kwa watu wa hapa ni kwamba. Mbunge aliyehamia CCM hakubaliki. Kura za maoni amepita na haijulikani jina litarudi au hapana. Lakini kupita kwake ni rushwa kwa kusaidiwa na viongopzi wa CCM wa Wilaya; Mkiti, Katibu, PCCB na usalama wa Wilaya, wote walipigwa milioni 5 kila mtu.
Siku ya uchaguzi kila mjumbe akarushiwa 70 kwenye simu yake. Niambie mtu wa aina hiyo au mfumo wa aina hiyo utatuletea nini. Yaonekana ni nchi nzima ndo mfumo uliotumika.
Mwanaccm hasiyeshiriki vitendo vya Rushwa ana harufu za umamluki.Nawaomba mnisome hapa:
Mchakato wa kutafuta wagombea ndani ya CCM umeibua mambo mengi ambayo ni vizuri kuyajadili. Muhimu ni kuelewa kwamba kwa mpangilio wa vyombo vya uasalama na ukubwa wa CCM, bado kitakuwa ndicho chama kitakachoongoza nchi hii kwa miongo ijayo. Tatizo langu ni ukomavu na njia potofu zinazotumika kupata viongozi. Njia hizi zinasambaza uozo na mfumo mbovu ndani ya nchi hii.
Nimewasiliana na watu mbali mbali: Nimepiga simu Kusini kabisa Nanyumbu, nikapiga simu kaskazini Ukerewe na Kyerwa, nikapiga simu magharibi kigoma kaskazini na Buhigwe, nikarudi mashariki Dar na Mkuranga. Hapo katikati nikaongea na Manyoni magharibi na Singida Kaskazini. Sehemu zote hizo rushwa ilitumika kuwapata wagombea wa Ubunge na sasa kuna mipango maalumu ya jinsi ya kuwapata madiwani.
Mambo yako hivi; viongozi wa CCM ktk majimbo haya niliyoyataja, yaani wenyeviti wa Wilaya na makatibu wao wamejipanga ili kila wakati wafaidike na pesa za serikali kupitia halmashauri. Wanachopanga sasa hivi ni kujihakikishia nani awe Diwani, nani awe mbunge na ktk hao nani ateuliwe kuwa M/kiti wa halmashauri. Wazoefu ktk uchaguzi wametoa pesa kwa weneyviti na makatibu wao ili kuwalainisha na kuwasaidia kuwaelekeza hawa tunaowaita ’wajumbe.’
Kutokana na mpangilio huo, Viongozi wa CCM wanajihakikishia njia ya kupata pesa za halmashauri. Hii ni moja ya mbinu ambayo imewasambaratisha wagombea ambao huenda wana mipango na malengo mazuri ya majimbo yao. Hawatakiwi! Kwa haraka utaona kama ni tatizo la CCM lakini ni tatizo kwa wananchi wote wa nchi hii. Je, rais au Mkiti wa CCM analifahamu hili. Je anaamini atawasimamia? Sisi tunataka mfumo na siyo kusimamiwa kwa vitisho. Kwa mtindo huu, hatutapata mfumo.
Shida ni kuwa wenye hela ndo itakuwa kigezo Cha kuwa kiongozi kwahyo wasio na hela na uwezo hawatapata nafasi hyo ni hatari Sana, Sasa huyo mtoto wa jaji ndio kinara wa rushwa
Duuuu
Nawaomba mnisome hapa:
Mchakato wa kutafuta wagombea ndani ya CCM umeibua mambo mengi ambayo ni vizuri kuyajadili. Muhimu ni kuelewa kwamba kwa mpangilio wa vyombo vya uasalama na ukubwa wa CCM, bado kitakuwa ndicho chama kitakachoongoza nchi hii kwa miongo ijayo. Tatizo langu ni ukomavu na njia potofu zinazotumika kupata viongozi. Njia hizi zinasambaza uozo na mfumo mbovu ndani ya nchi hii.
Nimewasiliana na watu mbali mbali: Nimepiga simu Kusini kabisa Nanyumbu, nikapiga simu kaskazini Ukerewe na Kyerwa, nikapiga simu magharibi kigoma kaskazini na Buhigwe, nikarudi mashariki Dar na Mkuranga. Hapo katikati nikaongea na Manyoni magharibi na Singida Kaskazini. Sehemu zote hizo rushwa ilitumika kuwapata wagombea wa Ubunge na sasa kuna mipango maalumu ya jinsi ya kuwapata madiwani.
Mambo yako hivi; viongozi wa CCM ktk majimbo haya niliyoyataja, yaani wenyeviti wa Wilaya na makatibu wao wamejipanga ili kila wakati wafaidike na pesa za serikali kupitia halmashauri. Wanachopanga sasa hivi ni kujihakikishia nani awe Diwani, nani awe mbunge na ktk hao nani ateuliwe kuwa M/kiti wa halmashauri. Wazoefu ktk uchaguzi wametoa pesa kwa weneyviti na makatibu wao ili kuwalainisha na kuwasaidia kuwaelekeza hawa tunaowaita ’wajumbe.’
Kutokana na mpangilio huo, Viongozi wa CCM wanajihakikishia njia ya kupata pesa za halmashauri. Hii ni moja ya mbinu ambayo imewasambaratisha wagombea ambao huenda wana mipango na malengo mazuri ya majimbo yao. Hawatakiwi! Kwa haraka utaona kama ni tatizo la CCM lakini ni tatizo kwa wananchi wote wa nchi hii. Je, rais au Mkiti wa CCM analifahamu hili. Je anaamini atawasimamia? Sisi tunataka mfumo na siyo kusimamiwa kwa vitisho. Kwa mtindo huu, hatutapata mfumo.
Wengi waliopata kura chache ni wale ambao hawakuhonga I wish hii tabia ikomeshwe Mara moja bila hivo maskini watabaki watawaliwa tuKwa kweli ni Kinara kama ameweza kutoa million zote hizo
Watoto wa maskini hawezi kuonga na wengi ndio wanakua wana qualifications zote za kushinda tatizo pesa
Na bado wakamchinjia nyuma huko shingoni, ni Bora kula hela za mtu na kura asipewe apewe aliye vizuri, mfano gambo naye kahonga
Wajumbe sio watu wazuri kweliWaache watoe Rushwa kigamboni wamekula mil100 za Bashite.